Polepole tumia mwanya huu kupiga pesa za Watanzania. Mange aliona fursa akaitumia sasa kawa tajiri

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi:
1. Kusahau mapema
2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli.
3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ)
4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao.
5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine
Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5, akawa anatumbua watu hadharani basi Watanganyika mioyo yao ilisuuzika sana. Watanganyika hawakujua kuwa wale waliotumbuliwa waliendelea kulipwa stahiki zao mpaka walipopangiwa majukumu mengine. Serikali iliingia hasara kwa kulipa watu 2 kwa nafasi moja. Lakini mpaka kesho huwezi kuwaambia kitu Watanganyika kuhusu Magufuli.
Polepole wewe tengeneza app au forums halafu kila siku wewe tupia habari za ufisadi wa Cuba bila kujali ni kweli au si kweli. Halafu kila wiki watu wakulipe elfu 2 tu. Ukipata watu laki 2 tu ushakuwa bilionea.
Kwa habari zaidi soma 👇👇
Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao
 
naomba kufahamu makadirio ya kiwango cha mshahara cha balozi wa Tz nchini Cuba ni kiasi gani?
 
Hata hili ulilo andika tutalisahau na kuendekea kumsikiliza pole pole. Mambi yetu tuachie wenyewe
 
Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi:
1. Kusahau mapema
2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli.
3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ)
4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao.
5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine
Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5, akawa anatumbua watu hadharani basi Watanganyika mioyo yao ilisuuzika sana. Mpaka kesho huwezi kuwaambia kitu Watanganyika kuhusu Magufuli.
Polepole wewe tengeneza app au forums halafu kila siku wewe tupia habari za ufisadi wa Cuba bila kujali ni kweli au si kweli. Halafu kila wiki watu wakulipe elfu 2 tu. Ukipata watu laki 2 tu ushakuwa bilionea.
Thread 'Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao.
Kwa habari zaidi soma 👇👇
Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao
Sasa mbona upo pamoja na jimama tapeli? Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua.
 
Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi:
1. Kusahau mapema
2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli.
3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ)
4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao.
5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine
Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5, akawa anatumbua watu hadharani basi Watanganyika mioyo yao ilisuuzika sana. Mpaka kesho huwezi kuwaambia kitu Watanganyika kuhusu Magufuli.
Polepole wewe tengeneza app au forums halafu kila siku wewe tupia habari za ufisadi wa Cuba bila kujali ni kweli au si kweli. Halafu kila wiki watu wakulipe elfu 2 tu. Ukipata watu laki 2 tu ushakuwa bilionea.
Thread 'Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao.
Kwa habari zaidi soma 👇👇
Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao
Kenge wewe
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Wala usijali mkuu, jamaa anawafanyia timing tu.......muda si muda atajipigia matonetone ya kutosha. Hakuna kazi rahisi kama kupata trust ya nyumbu na Kisha kujipigia tone tone
 
Back
Top Bottom