Polepole tumia mwanya huu kupiga pesa za Watanzania. Mange aliona fursa akaitumia sasa kawa tajiri

Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi:
1. Kusahau mapema
2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli.
3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ)
4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao.
5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine
Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5, akawa anatumbua watu hadharani basi Watanganyika mioyo yao ilisuuzika sana. Watanganyika hawakujua kuwa wale waliotumbuliwa waliendelea kulipwa stahiki zao mpaka walipopangiwa majukumu mengine. Serikali iliingia hasara kwa kulipa watu 2 kwa nafasi moja. Lakini mpaka kesho huwezi kuwaambia kitu Watanganyika kuhusu Magufuli.
Polepole wewe tengeneza app au forums halafu kila siku wewe tupia habari za ufisadi wa Cuba bila kujali ni kweli au si kweli. Halafu kila wiki watu wakulipe elfu 2 tu. Ukipata watu laki 2 tu ushakuwa bilionea.
Kwa habari zaidi soma 👇👇
Mimi mtu yeyote kama tu yuko CCM siwezi kumwamini . Polepole na Gwajima wote wanapigania matumbo yao
Kapige 100 b za wahuni wakijani
 
Polepole inabidi akulipe kwa huu ushauri uliompa bure.

Ulichomuandikia kinastahili kulipiwa Consultation fees tena kubwa.
 
Nilikua cjui kumbe mange ni tajiri.
Kazi ni kipimo cha utu
Anatunga habari za Abdul anazipost kwenye kurasa wake zikiwa na video, ndani ya saa moja washachungulia watanzania 10,000 yakipita masaa 10 wamechungulia wajinga laki moja, tuchukulie kila mtu analipa shilingi elfu moja tu.

Dada yupo njema sana haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom