Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ibilisi wa ccm wamechangisha bilion 83 ili wazitumie kuwalisha kuwalea chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm, Mbowe anakusubiria pesa kwa hamu kwani ndiyo mwenye Tenda ya kuuza watu toka chadema kwenda Chaumaccm kwa njia haramu za kishetaniHumphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
ccm imepata pesa, shida na Tabu ni hizo pesa kutumika na madalali wa Siasa kudidimiza Demokrasia, ibilisi wa ccm watazifuja kwa visingizio vya kuihujumu chadema na kufanyia uchakachuaji wakati matokeo wanayo mifukoniSio wa kumzingatia sana .
Yupo anajenga ccm imara.
Olooooh!🐼
Kwahiyo James Mboe siyo Mpinzani wa kweli?
Polepole 🤣🤣🤣 😱!Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Polepole asipovuta shisha anaongea mambo mema tu.Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Ila polepole ni mnafiki wa viwango vya juu sana dah 🤣Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Bila shaka Lisu ni mwanasheria mzuri na ni mzuri wa kujenga hoja, tatizo lake si mwanadiplomasia na siasa za kiafrika zinamshinda, siasa zake kama angekuwa nje ya Afrika zingeleta tija, lakini huku kwetu Afrika lazima ufanye siasa kwa akili kubwa sana na bila ya kutumia mihemko, ukitumia uwanaharakati utajikuta unatumikia jela bila ya mpango. Na tatizo lingine Lisu akiwa nje anaweza akadhuriwa na watu wakaanza kutupiana lawama.Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Polepole 🤣🤣🤣 😱!
Polepole bado hajajua tu mpaka sasa kwamba kwa mujibu wa Katiba ya Nchi iliyopo hakuna mahali Katiba imevunjwa 😳😱🤷🏾♂️🤷♂️ !
Nyerere aliwaambia lakini mkashupaza Shingo 😅😂 !
Sasa mkae kwa kutulia !
Hakuna mahali Katiba imevunjwa na kama ipo sehemu imevunjwa muende mukafungue Shauri Mahakamani 🤷🏾♂️🤷🏿♂️🤷♂️ !
Katiba ya Nchi ndio Sheria Mama 🙌👍 !
Rasimu ya Katiba ya Mzee Warioba ✅💯 🙌✅
Hapo vipi Mr Polepole ????!!
Hivi kufanya siasa kwa akili ni kukubali kuwa lapdog ?!Bila shaka Lisu ni mwanasheria mzuri na ni mzuri wa kujenga hoja, tatizo lake si mwanadiplomasia na siasa za kiafrika zinamshinda, siasa zake kama angekuwa nje ya Afrika zingeleta tija, lakini huku kwetu Afrika lazima ufanye siasa kwa akili kubwa sana na bila ya kutumia mihemko, ukitumia uwanaharakati utajikuta unatumikia jela bila ya mpango. Na tatizo lingine Lisu akiwa nje anaweza akadhuriwa na watu wakaanza kutupiana lawama.
Unamwita Mpizani wa kweki!! wakati 2020 election amepata 13% ya vote, na chadema wapata seat moja kwenye bunge.Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Yule dogo lazima anapiga cha kule Sanya Juu maeneo ya Engare Nairobi🐼
Kwahiyo James Mboe siyo Mpinzani wa kweli?