Aliposhangilia zile risasi hakuwa mpinzani wa kweli?Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Pole pole aache unafiki. Hivi kweli anaamini kuwa Lisu ni mpinzani wa kweli ilihali anajua kua alipata 13%ya kura uchaguzi uliopita?Yupo sahihi
mpinzani og yupo jela
simba wa Africa!
Akifanya yale ya Ibrahim mbona ndiyo shimo kabisa la CDM, kwani cuf ipo?.Tokea juzi Mbowe ana furaha sana baada ya kuona pesa zikichangwa anajua sasa atakuwa bilion kwa udalali wa kisiasa, na pia anazitumia hizo pesa kuidhoofisha chadema kisha afanye mapinduzi kama Lipumba wa CUF, chadema kuanzia sasa mchungeni mbowe ilibidi asomewe Alibadiri mapema kabla hajaenda mbali zaidi
Kumjua mpinzani wako strength yake na weakness yake na kuja na njia mbadala ya kuonyesha jinsi gani utakavyoleta mabadiliko. Kwa sasa unaona CHADEMA wanaweza kushinikiza NRNE au kupambana na kesi ya kiongozi wao?Hivi kufanya siasa kwa akili ni kukubali kuwa lapdog ?!
Basi siasa haina faida
Kutumia uparattus za umma kumdhibiti mpinzani wako kupitia weakness za katiba siyo ujanja bali ubinafsi. Hasa maslahi ya kundi dogo na siyo future ya nchi. Bahati nzuri ni Tanganyika kila kitu ni yes.Kumjua mpinzani wako strength yake na weakness yake na kuja na njia mbadala ya kuonyesha jinsi gani utakavyoleta mabadiliko. Kwa sasa unaona CHADEMA wanaweza kushinikiza NRNE au kupambana na kesi ya kiongozi wao?
Jamaa ana hoja.Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Sasa kususia uchaguzi ndiyo kutafanya marekebisho ya katiba? Au kitazuia chama tawala kisitumie vyombo vya dola au mahakama kwa manufaa yake?Kutumia uparattus za umma kumdhibiti mpinzani wako kupitia weakness za katiba siyo ujanja bali ubinafsi. Hasa maslahi ya kundi dogo na siyo future ya nchi. Bahati nzuri ni Tanganyika kila kitu ni yes.
Ccm wanatamba kama moja ya chama kikubwa Africa. Lakini hawako tayari kwa free & fair election !!. Ukubwa gani sasa labda wa uoga. Acha mama ashindane na kina Tadea, updp & Co. Huko ndiyo waonyeshe Ukubwa.
Kwanini muendelee kuwabyanganya ushindi wao huku mnajua hawawezi kufikisha hata 13% ?!Unamwita Mpizani wa kweki!! wakati 2020 election amepata 13% ya vote, na chadema wapata seat moja kwenye bunge.
Polepole kwa atuambie walimfanyaje mpizani wa kweli 2020
Mbowe alikua mwana diplomasia mbona alipewa kesi ya ugaidi?Bila shaka Lisu ni mwanasheria mzuri na ni mzuri wa kujenga hoja, tatizo lake si mwanadiplomasia na siasa za kiafrika zinamshinda, siasa zake kama angekuwa nje ya Afrika zingeleta tija, lakini huku kwetu Afrika lazima ufanye siasa kwa akili kubwa sana na bila ya kutumia mihemko, ukitumia uwanaharakati utajikuta unatumikia jela bila ya mpango. Na tatizo lingine Lisu akiwa nje anaweza akadhuriwa na watu wakaanza kutupiana lawama.
Kwahiyo kushiriki ndio kutasaidia nini sasa?Sasa kususia uchaguzi ndiyo kutafanya marekebisho ya katiba? Au kitazuia chama tawala kisitumie vyombo vya dola au mahakama kwa manufaa yake?
Mngese huyo,hana tena mazito ya kutikisa nchi,kaungana na makahaba wa dayaspora akina maria sarungi na mange kimambiHumphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Hapo ulipo kisamvu pwaaahh...Ila polepole ni mnafiki wa viwango vya juu sana dah 🤣
Unafki wake uko wapi?Ila polepole ni mnafiki wa viwango vya juu sana dah 🤣
Kwani wakati yeye NI karibu mwenezi mwaka 2020 CCM iliingiaje kwenye uchaguzi wakati wagombea weeengi upinzani walipoenguliwa sababu ya kukosea kujaza fomu,si alibariki huyu kupita bila kupingwaHumphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."
Wewe mwenzetu uko dunia nyingine kabisa!!Samia anataka kuforce King, hapo kuna faida na madhara ila madhara ni mengi zaidi.
Yaani Katiba ilimpa nafasi yeye kubeba mzigo ili kumalizia safari baada ya mgombea mweza wake wa Urais kutwaliwa, ila sasa mzigo huo kaufanya wa kwake amegoma kuutua na kuukabidhi kwa wenyewe.
Swali kwa watanganyika je hii ni sawa? Swali kwa wana CCM je hii ni sahihi?
Eeh! Ebhana kule kunabariiii nihatariiiiYule dogo lazima anapiga cha kule Sanya Juu maeneo ya Engare Nairobi
mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi ya Tanzania, asijitazame yeye kwanza."
"Tunakwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ambayo nchi haiko moja tumegawika wengine hawafanyi Siasa kwasababu wamefungwa mikono, unapataje amani unakwenda kwenye uchaguzi mpinzani wa kweli yupo jela? Haiwezekani."