GE2025 Polepole: Tunakwenda kwenye uchaguzi nchi ambayo aipo moja, tumegawika. Wengine awafanyi siasa kwa sababu wamefungwa mikono

GE2025 Polepole: Tunakwenda kwenye uchaguzi nchi ambayo aipo moja, tumegawika. Wengine awafanyi siasa kwa sababu wamefungwa mikono

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205


View: https://www.youtube.com/live/WhVsx0zxeh0
Updates;

CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa.

Kuna watu wanapenda kusifu tu hata rais afanyi kazi wao ni kusifu tu muda wote, kwahiyo mimi ningekuwa na wivu ningetaka kuona anafeli. Kwahiyo mzee wangu Azim Dewji ni wapiga mapambio kinafiki labda kuna chochote kitu anakipata.

Wakuu wa mikoa na wilaya waoachia ngazi halafu wanaenda kuutafuta ubunge awanadhamira ya kweli ya kuwasidia wananchi. Wapigine chini
 


View: https://www.youtube.com/live/WhVsx0zxeh0
Updates;

CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa.

Kuna watu wanapenda kusifu tu hata rais afanyi kazi wao ni kusifu tu muda wote, kwahiyo mimi ningekuwa na wivu ningetaka kuona anafeli. Kwahiyo mzee wangu Azim Dewji ni wapiga mapambio kinafiki labda kuna chochote kitu anakipata

Ni kweli wewe Polepole unafanya mambo kama Mrema?
 
Back
Top Bottom