Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

Attachments

  • Screenshot_20201018-103832.png
    20.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20201018-103832.png
    20.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20201018-103832.png
    20.1 KB · Views: 3
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Na hapo bado ma fisiemu yameacha kupumulia pua saiz yana pumulia mi,kundru nyani wale
 
"Watu wakikosa sera, wanahamia kwenye mambo ya kijinga km uraia, ukabila, udini, ukanda, nk ili kupata legitimacy huko" - Mwalimu JK Nyerere.
 
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Endelea kumharibia m.kiti tu,wewe shauri yako,miongoni mwa Mambo yanayowarudisha nyuma ni pamoja na kushindwa kutenda haki kupitia eneo Hilo la kuhoji uraia wawale mnaofikiri ni hatari kwa maslahi yenu.
 
Wewe ni raia bwashee?
 
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Siku ya mwisho kila goti litapigwa
 
Bwashee Lissu alishaukana uraia wa Tanzania kwa sasa yeye ni Mbelgiji Dunia nzima inajua ngoja Uchaguzi tumtie kabali
 
Kwani Polepole ametaja mtu?
 
Kaishiwa hoja!Badala ya kuzungumzia mafanikio ya ndege,flyovers na stiegler gorge anakubali kuishiwa hoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…