Polepole: Ukiwa mwadilifu tegemea vikwazo kutoka kwa wahuni

Polepole: Ukiwa mwadilifu tegemea vikwazo kutoka kwa wahuni

Shida ni katika mazingirw wanayo tugeuka yaan mtu akinyimwa tonge anakua upande wa wananchi akipewa anasapoti mateso

Raila, Ruto, Mudavadi, Wetangula, waliwahi kuwa timu Moja.

Raila, Uhuru, Karua, wamewahi kuwa maadui.

Raila, Uhuru, Karua, leo marafiki.

Raila, Uhuru, Karua, leo ni dhidi ya Ruto, Wetangula, Mudavadi.

Lini tutajifunza urafiki au uadui ni kwenye agenda?!
 
Pasi na kupepesa macho dhidi ya wahuni sikia mambo:

View attachment 2685447

"Kama si fitna, zengwe, kurogwa tegemea kujikuta ana kwa ana na wasiojulikana."

Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri!

Tumesikia wakitishiwa watu kuuwawa. Uthibitisho kuwa wahuni huupiga mwingi hadi nje ya CCM.

Tunaporumbana nao kuhusu bandari zetu, maneno ya Polepole aka kiroboto, yanaishi:

"Usiku ni kuwa macho sana!"
Huyu shetani akae kimya kabisa hana akili
 
Huyu Jamaa alikuwa "INFUENSA" mzuri sana kwa vijana kuhusu kuipenda nchi na uharakati ,Polepole akialikwa kwenye kipindi utapenda kumsikiliza anavyotoa nondo za kupiga kwenye mshono ila "VIPANDE 30 VYA FEDHA' vikampenda zaidi.
Mimi nafikiri hii ingemlipa zaidi kuliko huo ubalozi. Angejiweka staili ya kama NANAUKA!
 
Raila, Ruto, Mudavadi, Wetangula, waliwahi kuwa timu Moja.

Raila, Uhuru, Karua, wamewahi kuwa maadui.

Raila, Uhuru, Karua, leo marafiki.

Raila, Uhuru, Karua, leo ni dhidi ya Ruto, Wetangula, Mudavadi.

Lini tutajifunza urafiki au uadui ni kwenye agenda?!
Hata hao unaowasemea hawajawa mfano mzuri bado...
Huo urafiki wa kula pamoja na kukandamiza wananchi hapana
 
Wasiojulikana wanapenda wahuni, hawataki watu waadilifu wanaotetea rasilimali za nchi yao.
 
Wasiojulikana wanapenda wahuni, hawataki watu waadilifu wanaotetea rasilimali za nchi yao.

Huo ndiyo ulio ukweli no wonder tayari Wana miadi na Dkt. Nshala, Wakili Mwabukusi na hata Dkt. Slaa isipokuwa kina Mwaipopo.
 
bora ukutane na kinyonga kuliko ukutane na mwanasiasa.dont trust anyone
 
Back
Top Bottom