Polepole: Ukiwa mwadilifu tegemea vikwazo kutoka kwa wahuni

Sikia ndugu unafahami rais was sasa was Zambia amepigania ukombozi was huko kwa muda gani na watu gani kwa muda wote?

Rais kipenzi wa watu wa Zambia ni muumini kindaki ndaki wa mapambano ya ukombozi na washirika kwa misingi ya agenda si watu.

Ndiyo maana Zambia inapaa bila dalili za kupatilizana maovu kwa misingi ya visasi.
 
Cc: Baba jayaron
 
Ndo tunataka na hawa wahuni (wanasiasa) wamuige Zambia na si kuigana vipofu kwa vipofu
 
Yuko sahihi kabisa !!
 
Hichi kizee kilipaswa kusema hayo maneno wakati wa Magufuli, badala yake kikawa kinaruka sarakasi na kukatika muziki Ikulu kwa shangwe. Kwa sasa nacho kimeshikwa pabaya na kubwabwaja tu.
Tunachoangalia zaidi ni ukweli aliousema hata kama wakati mwingine alikuwa anaumezea !!

Wewe kama sio muathirika wa alichokisema sisi wengine yameshatupitia !! Hao wahuni ni watu hatari sana !! Na wala sio uongo !!
 
Miaka mingi nimekuwa nikiomba Mungu ajitokeze mtu tena ndani ya Ccm aulezee Umma hichi alicho kitanabahisha Polepole katika uzi huu !!

Karma is real !!
 
Ndo tunataka na hawa wahuni (wanasiasa) wamuige Zambia na si kuigana vipofu kwa vipofu

Walio katika mapambano bIla ya kuangaliana asili bali agenda hawawezi kuwa petty wala kuwa na visasi.

Kina Ruto, Uhuru, Raila, Karua, Wetangula, na wa namna hiyo watatoboa.

Siasa ni sayansi si u ng'ombe.
 
Hao wote uliowataja ni wachumia tumbo we subiri Ruto amkaribishe Raila (shake hand) ndo utaelewa kwamba hao wote ni wahuni tuu
 
Hao wote uliowataja ni wachumia tumbo we subiri Ruto amkaribishe Raila (shake hand) ndo utaelewa kwamba hao wote ni wahuni tuu
Subirini wachumia bongo tokea mbinguni.

Nini kigumu kuelewa ndugu? Cha kudumu agenda si watu.
 
Tofauti yetu na nchi zingine ni kujikita kuwajadili watu badala ya hoja zao.
Tunajadili hoja yake ambayo haitasahaulika.

Humprey Polepole atakumbukwa na Watanzania kwa majivuno yake kwamba viongozi wa CCM mpaka ngazi ya tarafa wanatumia ma Landcruiser V8 na mikonge hardtop.

Nchi ya watu masikini wauza ndizi watembea peku, kiongozi wa CCM, the party of Julius Nyerere, anasifia utajiri wa . viongozi wa chama. Utasemaje umenyooka ?
 
We ndo wale wale utajua mwenyewe bana😤😤

Tatizo Ilimu.

Si nadra elimu kuitwa Ilimu.

Kazi tunayo. Mtanzania ataendelea kulalama hadi kiama ila adui yake mkuu ni yeye mwenyewe.

Hiiiiiiiiiii bagosha!
 
Tatizo Ilimu.

Si nadra elimu kuitwa Ilimu.

Kazi tunayo. Mtanzania ataendelea kulalama hadi kiama ila adui yake mkuu ni yeye mwenyewe.

Hiiiiiiiiiii bagosha!
Haya we elite haulalamiki naona ushafanya mageuzi
 
Haya we elite haulalamiki naona ushafanya mageuzi

Usiniwekee maneno mdomoni ndugu miye ninalalamika sana. Ndiyo maana kwangu tunaolalamika tu pamoja bila kujali ni mbowe, polepole, slaa, lissu, mpina nk.

Habari ndiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…