Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

Dr ZWAZWA na UPUUZI wake! Mpeleke kwako huyo kama kakutosha.

KWANZA......Alituambia Mwingereza Alijenga Reli ya Kaliuwa Mpanda na CCM walishaiiuwa haifanyi kazi tena, Lakini Ukweli ni Kwamba Reli ile inafanya Kazi na Train inakwenda Mpanda kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....
 
tatizo jiwe alilala na nguo ila asubuhi kajikuta uchi. haamini macho na maskio yake
 
CCM imedanganya watanzania miaka 60 toka tumepata uhuru na hakuna maendeleo zaidi ya kuwafanya watanzania mafukara wa kutupwa.

Miaka 60 ya uhuru CCM bado ni chama cha wanyonge, hao wanyonge hawaishi? Miaka 60 80% wanaishi kwenye dimbwi la umasikini na ufukara, maana yake kwa miaka 60 CCM imefanikiwa kuwaondoa kwenye umasikini Watanzania 20%, hivyo CCM itahitaji miaka 240 kuwaondoa watanzania wote kwenye umasikini jambo ambalo haliwezekani hata tukiwapa miaka 500.
 
umechanganyikiwa
 
Bwashee hizi ni siasa bila kuweka kiungo cha uongo pilau halinogi we mbona john anasema mengine ya uongo tunaona kabisaaa
 


Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika. Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time. Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him.

He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people.

This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque. When was the last time magufuli was in the campaign trail..
 
Yaani sasa hivi CCM ndo wana play defensive game,kweli mungu ameleta,Tundu,,THE GAME CHANGER,,dk zote 90 yuko golini anashambulia tu,kweli nimeamini maisha ya duniani hakuna ajuae kesho..
 
Ndio awamu yenu ya tatu ya kampeni mmepanga haya
 
MAGUFULI tano Tena Utakuwa umeonaa Tano ya Mwanzo Kaaa kwa Kitulia Uone Tano ya Pili
 
Yule jamaa aliongea kitu kuhusu wale wazee wa uamsho mpaka nikawaza kuhusu utimamu wa akili yake
 
The only help you need is to Face the fact, TUNDU Lissu Won't win this ELECTION.

The Other help you need is To prepare Your Self On how to handle the speed of MAGUFULI in 2020-2025

Mwambieni Lissu aseme kitu kuhusu Ushoga
 
Kampige mambomu
 
Wenzio wana msemo wao. Wanasemaga Tundu Lissu atema cheche. Mavi ya kuku..
 
lissu ana wafuasi wake kama mifugo,hakuna kitu huwa wanahoji.
 
Umebaki kibaraka wa ccm wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…