Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

Hivi huyu Slow slow sio katika wale binadamu wa kale kweli!! wanaitwa sijui Zinja nini nini huko wenyewe wasomi wanajua
 
Kujenga misingi ya kiuchumi kwa kudhulumu stahiki za watu(Hakuna ajira mpya,Hakuna nyongeza ya mshahara,kuondoa fao la kujitoa,mpaka rambirambi alikula huko bk)Acha kujipendekeza Basi!
Hiyo kula pesa ya rambirambi unaweza kuweka ushahidi wa namna pesa zilivyoliwa au ni mambo yale ya ukasuku wa kusikiliza ulichoambiwa na wewe ukaamini moja kwa moja!?.

Ajira mpya zipo na ni nyingi sana, umesahau kuhusu vyeti feki na namna wenye vyeti halali walivyopata ajira?.

Sio rahisi kumtimizia kila mtu kila anachotaka kukipata. Hakuna nchi yenye rais wa aina hiyo na hatakuja kutokea.
 
Mkuu, TL ni mtu aliyezaliwa na akili kabla ya kuingia darasani, hakuna mtu anayesumbua serikali ya JPM kama TL na asikiambie mtu kujua sheria ndio kitu kikubwa kinampa jeuri TL kwa sababu nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria.
Ni kweli ni mtu mwenye shida ya akili na uchovu waubongokama Lissu ndiye anasumbua watu kwa makeke na makelele majukwaani bila kusema lolote la maana kwa nchi yetu kutokana na maagizo ya akina Amsterdam na wanyonyaji wenzake, ambao ndio wanampa Lissu huo ujeuri na ukorofi usio na maana yoyote. Vinginevyo hana jipya ila kuropoka tu na hivyo kusumbua watu wenye akili zao timamu.
 
CCM wamekamatika hadi wameomba poo, sijawahi ona mgombea eti anakwenda mapumziko ya kampeni this time ndio nimeona mbaya wanamzuia na Lissu eti apumzike.
Huyo mnayesema alikwenda "kupumzika" ni Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania! Hivyo ni vizuri ujue na ufahamu kuwa Rais Magufuli bado ni Rais wa JMT na bado anayo majukumu muhimu ya kutimiza. Acha kibaraka Lissu, apige kelele ili waliomtuma wamsikie vizuri!
 
Kuliwa pesa za rambirambi ilikuwa live huko Bk
 
Nilikuwa najaribu kuangalia size ya polepole ktk Chadema ili alumbane nae hata hivyo nimeona hakuna na atawapotezea muda tu! Huyu apuuzwe tu!
 
tundu lisu endelea kupiga nyundo huku hawa washadata saiz
 
pole pole nae levo yake si lissu
 
Nilikuwa najaribu kuangalia size ya polepole ktk Chadema ili alumbane nae hata hivyo nimeona hakuna na atawapotezea muda tu! Huyu apuuzwe tu!
Hivi Polepole hio mikono yake ilikua inasaidia nini hapo wkt mzee baba ameshaishika na kuiweka hio kitu mdomoni?
 
CHADEMA hamna maana kabisa, tangu nchi imepata uhuru mmeshindwa kutuwekea madawati kwenye shule zetu
 
Kati ya PLPL na Mheshimiwa Lissu nani hana kumbumbu 'who is out of the memory between the two'
 
Yameanza Leo,raisi aliapishwa wapi,ukishavunja bunge nchi haina raisi
 
Yameanza Leo,raisi aliapishwa wapi,ukishavunja bunge nchi haina raisi
Hata wenzako wakisoma hili watajua ulivyopwaya on this. Pole sana, hata Amsterdam anayemtetea Lissu anajua kuwa hata Marekani, Trump ataendelea kuwa Rais wa USA hadi pale rais mpya atakapoapishwa. This is equally true to Tanzania, kama huamini au huelewi hili, check with Lissu.
 
Hawa ndio wanatusaidia kuimaliza CCM!
Hivi HP ameshajisahau kwamba sasa anakula matapishi yake (tukikumbuka kauli zake bunge maalum la katiba!!)
JE HUYU POLEPOLE HAKUWAHI KUWA UKAWA?
JIBU LIKIWA NI NDIO BASI HUKO ALIKO KUNA TATIZO KUBWA!!
Je ile NGO yake pale makumbusho huwa inapata msaada toka wapi?
Je athari yake kwa vijana ni ipi?
 
Amalizie viporo vyake ili October asiwe amesahau kitu kwani mkataba wake unaisha October
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…