Polepole utakuwa umechanganyikiwa

Polepole utakuwa umechanganyikiwa

USIWE KAMA BENDERA FUATA UPEPO WEWE!! USIKUBALI KUWA KAMA WAVUTA BANGI WENGINE WALIOCOMMENT HAPO MWANZO!! KUWA MZALENDO TETEA NCHI YAKO. Khaaaa

mm kwa uzalendo kabisa nnasema katiba pandekezwa nooo tena big noo

mm ni ccm tena damu na kadi yangu si ya leo wala jana na historia yetu njema sana kifamilia kwenye ccm, ila bila mamlaka kamilli ya zanzibar kamwe na kamwe siungi mkono uchafu huu
 
Namwelewa sana Humphrey. Nasubiri kwa hamu hiyo siku nikagonge kakura kangu ka HAPANA.
 
HAIJALISHI UWE CCM AU CHADEMA HAPA HATUKO KUANGALIA MAMBO YA VYAMA NAOMBA UELEWE HIVYO, PIA SUALA LA WEWE KUPIGA KURA YA HAPANA HAPA SI MAHALA PAKE KWANI SUALA LA KURA NI SIRI YA MTU, JE MI NITAJUAJE KAMA UTAPIGA KURA YA HAPANA AU NDIYO? HIYO NI SIRI YAKO, TUKO HAPA KUELIMISHANA JUU YA UZURI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA, PIA UMETAJA MAMBO YA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR NENDA KASOME KATIBA INAYOPENDEKEZWA SURA YA SABA (MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO), IBARA YA 74-(1)-(4), Natumaini nimekujibu vema. Karibu!!
 
Manake toka mwanzo nakuona unavyojitia vidole kila mtu akiwa na mawazo tofauti na mtoa mada

NATOA MSISITIZO HATA KWAKO ILI UELEWE NA SIO KUBISHA BISHA HATA KWA VITU AMBAVYO VIKO RIGHT, HATA KAMA UNGEKUWA WEWE NINGESENA NI HAKI YANGU KUFANYA HIVYO. Uko hapo?
 
AKILI YAKO YA KUFIKIRI IMEFIKIA HAPO NADHANI MANENO NA EVIDENCE ALIKUPA HAPO JUU VYOTE VIMEKUUMA NDO MAANA UMEAMUA KUWEKA TUC, WEWE LAZIMA UTAKUWA NI MVUTA BANGI MAARUFU, WATU KAMA NYIE HUMU NDNI HAMTAKIWI KWA MAANA MNADHANI KUTUKANA WATU WENGINE HAWAWEZI, KHAAA WE CRAZY TUU BADALA YA KUJIBU KWA HOJA WE UNAKIMBILIA KUWEKA TUC, KAMA IMEKUUMA KUNYWA SUMU UFEEE Message sent!!

Duuuuh Hadija kopa mpaka huku upo? Long live jf tuendelee kupata mipasho
 
Kabla ya kumlaumu polepole, waanze kuwalaumu maaskofu na masheikh wetu waliosema kwamba katiba pendekezwa ni UHARO mtupu!!

HAO TAYARI WAMESHAPEWA LAWAMA NA NADHANI MESSAGE ZIMEWAFIKIA KUWA WAO HAWAPASWI KUINGILIA MAMBO YA SIASA, WAENDELEE NA MAMBO YA DINI. Khaaaa!!
 
NATOA MSISITIZO HATA KWAKO ILI UELEWE NA SIO KUBISHA BISHA HATA KWA VITU AMBAVYO VIKO RIGHT, HATA KAMA UNGEKUWA WEWE NINGESENA NI HAKI YANGU KUFANYA HIVYO. Uko hapo?

Kwani ndugu unatatizo binafsi na Humphrey?
 
Namwelewa sana Humphrey. Nasubiri kwa hamu hiyo siku nikagonge kakura kangu ka HAPANA.

NI HAKI YAKO HAKUNA ANAYEKUZUIA ILA NAKUSHANGAA UNAPOTANGAZA HUMU NDANI ILI AKUSHANGILIE NANNI? KILA MTU ATAPIGA KURA KWA SIRI YAKE WEWE MGENI WA KUPIGA KURA UNAONEKANA!! Hahahaha
 
Umepoteza MB zako kuja kuongea huu ujinga.....halaf utegemee kuitwa great thinker....nadhani unatatizo

I'm very very far from being a great thinker ndugu.... Ila shida yangu ni nyie mnaojiita great thinkers na kushabikia upuuzi
 
WEWE NDO WALE WALE MLIOTUMWA NA HUYO HUMPHREY HARAKA HARAKA, MAANA UNAMTETEA AS IF WE KIBARAKA WAKE KWAKE, KWANI YALIYOSEMWA YANA UONGO? ANAPENDA SIFA KILA SEHEMU AONEKANE ANAJUA KUONGEA KUMBE LIJITU ZEROOO TUU, WATU HAWAMPENDI MCHUMIA TUMBO TU YULE HANA LOLOTE!! Khaaa

WATU gani?CCM?
 
AKILI YAKO YA KUFIKIRI IMEFIKIA HAPO NADHANI MANENO NA EVIDENCE ALIKUPA HAPO JUU VYOTE VIMEKUUMA NDO MAANA UMEAMUA KUWEKA TUC, WEWE LAZIMA UTAKUWA NI MVUTA BANGI MAARUFU, WATU KAMA NYIE HUMU NDNI HAMTAKIWI KWA MAANA MNADHANI KUTUKANA WATU WENGINE HAWAWEZI, KHAAA WE CRAZY TUU BADALA YA KUJIBU KWA HOJA WE UNAKIMBILIA KUWEKA TUC, KAMA IMEKUUMA KUNYWA SUMU UFEEE. Message sent!!

mngeanza na mleta hoja kama alivyoandika yeye mala sheenzi sasa sijui sheenzi sio tusi
 
Umepoteza MB zako kuja kuongea huu ujinga.....halaf utegemee kuitwa great thinker....nadhani unatatizo

pia hata wewe utakuwa unatatizo sheenzi ya nini uliyoiandika pale kama hizo ndo hoja taifa kwisha kabisa
 
mngeanza na mleta hoja kama alivyoandika yeye mala sheenzi sasa sijui sheenzi sio tusi

KIUKWELI HUMU MATUC SI MAHALA PAKE YEYOTE YULE DAIMA TUTAMPINGA TUU HATA KAMA YEYE AKIFANYA HIVYO MNAHAKI KUMWELEZA UKWELI!! KHaaaa
 
I'm very very far from being a great thinker ndugu.... Ila shida yangu ni nyie mnaojiita great thinkers na kushabikia upuuzi

nadhani we mwenyewe nafsi yako inakushangaa unayokuj kuyapost....anywei am here to educate sio kubishana na watu kama wewe....umeelewa ndio maana umeishia kutukana bila kutoa hoja yoyote
 
Back
Top Bottom