Polepole utakuwa umechanganyikiwa

Polepole utakuwa umechanganyikiwa

Hiki nini umeandika? Kwani we mwenyewe umejielewa? Unatumia zilezile statement zinzotumiwa kuwapotosha.....kaka me nachokuomba hebu nenda ukasome IBARA YA 65 (2 na kuendelea uone nini kinazungumzwa kuhusu hizi haki......kaka tusipende kuongea bila facts tunajiaibisha vijana ambao ni wavivu kusoma.......

aisee rethink critically,
izo ibara mnazisoma kama hadithi ni haki ambazo you can not enforce before the court of law.
Please consult relevant books, unaweza kuwa unatabia ya kujisomea kumbe unasoma vitu ambavyo ni irrelevan
t.
 
We unamwambia mwenzako hivyo je na wewe unasoma kama Kasuku, unaushahidi gani kuwa you can enforce them b4 the Court of law? acha kupotosha umma humu. Kama huna jambo la maan la kuongea vema ukakaa kimya ukawa mtazamaji.
 
hey,
kama hamna uwezo wa jambo fulani muwe mnaomba ushauri kwa wataalamu.
Please consult books before you argue.
 
Back
Top Bottom