Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hiki nini umeandika? Kwani we mwenyewe umejielewa? Unatumia zilezile statement zinzotumiwa kuwapotosha.....kaka me nachokuomba hebu nenda ukasome IBARA YA 65 (2 na kuendelea uone nini kinazungumzwa kuhusu hizi haki......kaka tusipende kuongea bila facts tunajiaibisha vijana ambao ni wavivu kusoma.......
aisee rethink critically,
izo ibara mnazisoma kama hadithi ni haki ambazo you can not enforce before the court of law.
Please consult relevant books, unaweza kuwa unatabia ya kujisomea kumbe unasoma vitu ambavyo ni irrelevant.