Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Miongoni mwa hoja zilizoibua mjadala mkali kutoka kwa Balozi Polepole ni hili swali aliloliuliza: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?
Balozi ameeleza kuwa, pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kugombea, KUTOSHEKA ni msingi mojawapo wa misingi ya uongozi katika CCM. Aidha amefafanua kuwa katika nchi ambayo fursa ni chache, busara ni kipande kimoja kwa familia moja. Amehoji kwanini familia moja atake vipande vyote?
Mjadala huu umeacha makundi mawili; kundi linaloona Balozi ana hoja ya msingi na lingine likiona Balozi ana wivu. Kwako ww msomaji wangu, nini maoni yako juu ya hoja hii?
View: https://vm.tiktok.com/ZMSK81vC1/
Better late than never, kama alikuwa kwenye uhalifu na ameamua kurudi njia sahihi whatever the reasons might be ni bora kuliko wale ambao bado wanaendelea kuikandamiza nchi.Uchaguzi wa 2020 polepole ukiwa ndani ya CCM ulishiriki kuwanyanganya wapinzani majimbo yao walioshinda,ukapora wapinzani haki zao,kwa mara ya kwanza bunge likakosa wapinzani kwa ubabe wenu,Leo umegeukaje kuwa mwema kiasi hili,wewe sema unajenda gani nyuma ya pazia,wananchi wale wale waliokubali uhuni 2020,ndio hao hao waliopo wataendelea kunyamaza kimya.Nape aliwahi kusema hata kwa goli la mkono mtashinda Leo mnataka goli la mguu
Haya mambo Yana muda mzee, Trust me its just the matter of timeMfumo unaotawala chini ya control ya Tsar JK unatengeneza royal class ambao wakijijenga na kushika kona zote muhimu kuja kuwatoa labda yatokee mapinduzi ya kijeshi.
Walianza simply kama 'wana mtandao' bit by bit wakakua baada ya mishen-town kushika usukani na wakakomaa haswa. Mwendakuzimu alivyoingia akauvuruga huu ufalme, wakamuwahi wakampoteza na sasa bibi aliyeshika usukani unexpectedly anaendeshwa na Tsar nginjangija kwa ahadi ya 'protection' against machogo wa Kitanganyika.
Yaani accidentally JK akidanja kipindi hiki hapo juu kutakuwa na timbwili la kufa mtu, kazee kamekamata kona zote kanaiburuza nchi katakavyo.
Hao watoto wanaoandaliwa wanaamini nchi na yao and the rest are merely their servants.
Hawa watoto wote ujue wanakuwa recruited TISS na networking wanaanzia humo, TZ ya sasa TISS ni chawa wa viongozi na watoto wa viongozi ambao kwa jinsi trend ilivyoandaliwa ni viongozi wa baadaye. Hiyo inawapa protection na ukizingatia kutakuwa na tyrants kama Bashite wenye mizizi TISS kutahijika nguvu za ziada kuufumua huu mfumo dhalimu unaotengenezwa na JK.Haya mambo Yana muda mzee, Trust me its just the matter of time
Kwahiyo?Uchaguzi wa 2020 polepole ukiwa ndani ya CCM ulishiriki kuwanyanganya wapinzani majimbo yao walioshinda,ukapora wapinzani haki zao,kwa mara ya kwanza bunge likakosa wapinzani kwa ubabe wenu,Leo umegeukaje kuwa mwema kiasi hili,wewe sema unajenda gani nyuma ya pazia,wananchi wale wale waliokubali uhuni 2020,ndio hao hao waliopo wataendelea kunyamaza kimya.Nape aliwahi kusema hata kwa goli la mkono mtashinda Leo mnataka goli la mguu
Wako pale ili kulinda interests za familia zao, hawako pale kwa ajili ya kuhangaika na shida za walala hoi.Hao watoto +ndugu wa Viongozi wanawakilisha Familia zao au wananchi kwenye majimbo????
Kumwachia Mungu aamue masuala ya kisiasa ni kukata tamaaHakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Labda hofu iwe namna gani nchi itaweza kupona majeraha yake baada ya mabadiliko. Ukweli ni kwamba Mwenyezi Mungu ndiye mwamuzi wa vyote.
Pumbavu!Uchaguzi wa 2020 polepole ukiwa ndani ya CCM ulishiriki kuwanyanganya wapinzani majimbo yao walioshinda,ukapora wapinzani haki zao,kwa mara ya kwanza bunge likakosa wapinzani kwa ubabe wenu,Leo umegeukaje kuwa mwema kiasi hili,wewe sema unajenda gani nyuma ya pazia,wananchi wale wale waliokubali uhuni 2020,ndio hao hao waliopo wataendelea kunyamaza kimya.Nape aliwahi kusema hata kwa goli la mkono mtashinda Leo mnataka goli la mguu
Kikubwa kajirekebisha na kutoka upande wa ukandamizaji whatever the reasons.Polepole ni mnafiki tu, na amejawa na chuki baada ya kitengwa na awamu ya mama.
Magufuli alivyojaza ndugu zake na watu wa kutoka Kanda yake kwenye chama na serikali mbona Polepole hakusema?
Heri James M/KITI UVCCM........mpwa wa jiwe.
Dotto James PAYMASTER GENERAL....mpwa wa jiwe.
E bana Monster napenda unavyo employ slang yako ya Kiswahili. Ila "kudanja" ndiyo nini?Mfumo unaotawala chini ya control ya Tsar JK unatengeneza royal class ambao wakijijenga na kushika kona zote muhimu kuja kuwatoa labda yatokee mapinduzi ya kijeshi.
Walianza simply kama 'wana mtandao' bit by bit wakakua baada ya mishen-town kushika usukani na wakakomaa haswa. Mwendakuzimu alivyoingia akauvuruga huu ufalme, wakamuwahi wakampoteza na sasa bibi aliyeshika usukani unexpectedly anaendeshwa na Tsar nginjangija kwa ahadi ya 'protection' against machogo wa Kitanganyika.
Yaani accidentally JK akidanja kipindi hiki hapo juu kutakuwa na timbwili la kufa mtu, kazee kamekamata kona zote kanaiburuza nchi katakavyo.
Hao watoto wanaoandaliwa wanaamini nchi na yao and the rest are merely their servants.