Polepole: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?

Polepole: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?

It's all about Legacy, Satisfying the Soul, Safeguarding and Sustaining Personal Interest & Gains.....The truth and the matter is....No one is aiming at making you or anyone happy !!!
 
Polepole ni mnafiki tu, na amejawa na chuki baada ya kitengwa na awamu ya mama.

Magufuli alivyojaza ndugu zake na watu wa kutoka Kanda yake kwenye chama na serikali mbona Polepole hakusema?

Heri James M/KITI UVCCM........mpwa wa jiwe.
Dotto James PAYMASTER GENERAL....mpwa wa jiwe.
Umenikumbusha Cabinet iliyokuwa na
Mpango
Kalemani
Biteko
Ndalichako
Kwandikwa
Mhongo
Bashungwa
Kigwangala
Mwijage
Kitwanga (baadaye lugola)

Huku kukiwa na manaibu kama;
Angelina mabula (baadaye waziri kamili)
Mnyeti
Luhaga (baadaye waziri kamili)
Bashe
Injinia kundo
Nyongo
Katambi
Mwita waitara
Kakunda

SG wa Chama
Bashiru
Mlipaji Mkuu
Dotto
CDF
Mabeyo

Nk nk (watu ni wepesi kusahau asee - hata hii awamu ikipita watasahau)
 
Umenikumbusha Cabinet iliyokuwa na
Mpango
Kalemani
Biteko
Ndalichako
Kwandikwa
Mhongo
Bashungwa
Kigwangala
Mwijage
Kitwanga (baadaye lugola)

Huku kukiwa na manaibu kama;
Angelina mabula (baadaye waziri kamili)
Mnyeti
Luhaga (baadaye waziri kamili)
Bashe
Injinia kundo
Nyongo
Katambi
Mwita waitara

SG wa Chama
Bashiru
Mlipaji Mkuu
Dotto
CDF
Mabeyo

Nk nk (watu ni wepesi kusahau asee - hata hii awamu ikipita watasahau)
Good and kongole tuna save hii kwa future use, mana hata nape pinda wote cxm watt wao wako kwenye national cake sasa Bashir kama watt wake wanangalia game basi asilie lie
 
Good and kongole tuna save hii kwa future use, mana hata nape pinda wote cxm watt wao wako kwenye national cake sasa Bashir kama watt wake wanangalia game basi asilie lie
Sahihi kabisa hapo hujamuweka
Dorothy Gwajima...
 
Wanatoka kwenye nafasi za kazi wanakuja kugombea ubunge wakati watoto wa pangu pagimu waliwanyima hizo nafasi.
 
Umenikumbusha Cabinet iliyokuwa na
Mpango
Kalemani
Biteko
Ndalichako
Kwandikwa
Mhongo
Bashungwa
Kigwangala
Mwijage
Kitwanga (baadaye lugola)

Huku kukiwa na manaibu kama;
Angelina mabula (baadaye waziri kamili)
Mnyeti
Luhaga (baadaye waziri kamili)
Bashe
Injinia kundo
Nyongo
Katambi
Mwita waitara
Kakunda

SG wa Chama
Bashiru
Mlipaji Mkuu
Dotto
CDF
Mabeyo

Nk nk (watu ni wepesi kusahau asee - hata hii awamu ikipita watasahau)
Hapo sasa...
Yani MaCCM ni yaleyaleee
 
Hapo sasa...
Yani MaCCM ni yaleyaleee
We acha tu Mkuu, Nusu ya Cabinet au zaidi ilitoka kanda moja; manaibu karibu nusu walitoka kamda moja, ilifikia kipindi mawaziri wanaapishwa nyumbani.. sijui kama huo ulikuwa ni utawala bora... yaani trump akaapishe mawaziri trump tower??? Hili liliwezekana chini ya kina polepole tuuu... ilifikia kipindi mawaziri 2 tu ndio waliteuliwa baada ya PM kuapishwa (fedha na Nje)... (kama nakumbuka vizuri) eti vetting ilikuwa inaendelea- kwa polepole huu ndio utawala bora.. awamu hii ina changamoto zake lakini kwenye utawala bora nadhani inafanya vizuri kuliko awamu iliyopita...
 
Anapiga kwenye mbupu kabisaa!
Kwani nini kimebadilika tangu aanze kuongea? Ipo siku ataongea mpaka atalia na hakuna atakachobadilisha kwasababu yeye sio wa kwanza na hatakuwa wa mwisho. Tanzania ina mfumo imara sana wa kiuongozi ambao yeye Polepole HAWEZI kuubomoa.
 
Back
Top Bottom