Polepole Vs Bulembo: Ngoma mbichi

Polepole Vs Bulembo: Ngoma mbichi

Pole Pole endelea kuweka kuni mbichi kwenye tanuru, tunajua Ccm imejaa wahuni ila hatujui ni kina nani...

Weka kuni tuwajue.
 
Wacha upepo uendelee kuvuma wenye bahati tupate kuuona uchi wa kuku kwa mara ya kwanza ktk maisha yetu.
 
Wakishamaliza kumshughulikia ndipo bomu la maovu yote lisilo na mfano litalipuliwa kisha wataanza kulaumiana kwanini walichukua hatua hiyo.......................wait a little while
Hiyo Press conference ataifanyia wapi? Labda aende Kenya. Wana fitina CCM wewe waone hivyohivyo.
 
Hakika mkuu.....

Huo ndio ukweli mtupu.......👍
Kwa hiyo mwanachama aliyejiunga mfano miaka 10 iliyopita, anakuwa hana mamlaka ya kukosoa kwa sababu hana asili ya chama!? Basi humo itabidi wabaki akina Nnauye, the makambas , the kikwetes na wahuni wengine waliokuwepo 1977 au watoto wao. BTW, wewe nawe ni mtoto wa nani vile!?
 
Tulisema wakimalizana na sisi watageukiana wenyewe kwa wenyewe. Sasa ni vita vya kufa mtu kati ya Polepole na Bulembo, huku kwa mbaaali Nape akitaka kununua ugomvi kwa gharama yoyote Ile.

Kumbe Wahuni aliowasema Polepole ni pamoja na Bulembo.....

View attachment 2047789
mtu ana elimu ya msingi. kilichomsaidia katika siasa ni rushwa na uchawi kisha mtegemee ataimarisha taasisi ya chama?
 
Kwa hiyo mwanachama aliyejiunga mfano miaka 10 iliyopita, anakuwa hana mamlaka ya kukosoa kwa sababu hana asili ya chama!? Basi humo itabidi wabaki akina Nnauye, the makambas , the kikwetes na wahuni wengine waliokuwepo 1977 au watoto wao. BTW, wewe nawe ni mtoto wa nani vile!?
Asili ya CHAMA si miaka michache ama mingi.....

Asili ya CHAMA ni mwenendo wa IMANI ZA ITIKADI YA CCM auoneshao mwanachama kupitia hatua za madarasa ya ITIKADI......

Imani THABITI ya CCM inapimwa kwa MENGI MKUU......

Polepole anatutia mashaka mengi....
 
Wale waliojiunga kuunga mkono awamu ya tano kutoka upinzani nao si wana ccm!? Au kosa La Polepole ni kukosoa!?
 
Tulisema wakimalizana na sisi watageukiana wenyewe kwa wenyewe. Sasa ni vita vya kufa mtu kati ya Polepole na Bulembo, huku kwa mbaaali Nape akitaka kununua ugomvi kwa gharama yoyote Ile.

Kumbe Wahuni aliowasema Polepole ni pamoja na Bulembo.....

View attachment 2047789
Hawa wote ni wapigaji, Polepole alipiga mabilioni kwenye ile project haramu ya kununua wapinzani uchwara, Bulembo naye kapiga mabilioni yake kwenye shule za jumuia ya wazazi. Wote wakora tu hakuna msafi hata mmoja

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hiyo Press conference ataifanyia wapi? Labda aende Kenya. Wana fitina CCM wewe waone hivyohivyo.
Mbona anawasifia sana siku hizi tangu JPM aondoke? Nani anagharamia makala zake mitandaoni? Je, madai aliyokuwa anadai kipindi cha nyuma alishalipwa?
 
Back
Top Bottom