Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hakika mkuu.....HUYU JAMAA HANA UASILI NA CHAMA CHETU HAKIJUI ALIWEKWA TU ANGOLEWE MARA MOJA AKICHEKEWA ATAKUJA KUKIVUNJIA HESHIMA CHAMA CHETU
Huo ndio ukweli mtupu.......👍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu.....HUYU JAMAA HANA UASILI NA CHAMA CHETU HAKIJUI ALIWEKWA TU ANGOLEWE MARA MOJA AKICHEKEWA ATAKUJA KUKIVUNJIA HESHIMA CHAMA CHETU
Mbona hamkuyasema haya akiwa hai??Hakika mkuu.....
Huo ndio ukweli mtupu.......👍
Wahuni msherehekee?Polepole ni LOPOLOPO tu....
Afukuzwe chamani tusherehekee.......
Hiyo Press conference ataifanyia wapi? Labda aende Kenya. Wana fitina CCM wewe waone hivyohivyo.Wakishamaliza kumshughulikia ndipo bomu la maovu yote lisilo na mfano litalipuliwa kisha wataanza kulaumiana kwanini walichukua hatua hiyo.......................wait a little while
Kwa hiyo mwanachama aliyejiunga mfano miaka 10 iliyopita, anakuwa hana mamlaka ya kukosoa kwa sababu hana asili ya chama!? Basi humo itabidi wabaki akina Nnauye, the makambas , the kikwetes na wahuni wengine waliokuwepo 1977 au watoto wao. BTW, wewe nawe ni mtoto wa nani vile!?Hakika mkuu.....
Huo ndio ukweli mtupu.......👍
mtu ana elimu ya msingi. kilichomsaidia katika siasa ni rushwa na uchawi kisha mtegemee ataimarisha taasisi ya chama?Tulisema wakimalizana na sisi watageukiana wenyewe kwa wenyewe. Sasa ni vita vya kufa mtu kati ya Polepole na Bulembo, huku kwa mbaaali Nape akitaka kununua ugomvi kwa gharama yoyote Ile.
Kumbe Wahuni aliowasema Polepole ni pamoja na Bulembo.....
View attachment 2047789
Asili ya CHAMA si miaka michache ama mingi.....Kwa hiyo mwanachama aliyejiunga mfano miaka 10 iliyopita, anakuwa hana mamlaka ya kukosoa kwa sababu hana asili ya chama!? Basi humo itabidi wabaki akina Nnauye, the makambas , the kikwetes na wahuni wengine waliokuwepo 1977 au watoto wao. BTW, wewe nawe ni mtoto wa nani vile!?
Wale waliojiunga kuunga mkono awamu ya tano kutoka upinzani nao si wana ccm!? Au kosa La Polepole ni kukosoa!?Asili ya CHAMA si miaka michache ama mingi.....
Asili ya CHAMA ni mwenendo wa IMANI ZA ITIKADI YA CCM auoneshao mwanachama kupitia hatua za madarasa ya ITIKADI......
Imani THABITI ya CCM inapimwa kwa MENGI MKUU......
Polepole anatutia mashaka mengi....
Hawa wote ni wapigaji, Polepole alipiga mabilioni kwenye ile project haramu ya kununua wapinzani uchwara, Bulembo naye kapiga mabilioni yake kwenye shule za jumuia ya wazazi. Wote wakora tu hakuna msafi hata mmojaTulisema wakimalizana na sisi watageukiana wenyewe kwa wenyewe. Sasa ni vita vya kufa mtu kati ya Polepole na Bulembo, huku kwa mbaaali Nape akitaka kununua ugomvi kwa gharama yoyote Ile.
Kumbe Wahuni aliowasema Polepole ni pamoja na Bulembo.....
View attachment 2047789
Wachafu wanachafuanaHawa wote ni wapigaji, Polepole alipiga mabilioni kwenye ile project haramu ya kununua wapinzani uchwara, Bulembo naye kapiga mabilioni yake kwenye shule za jumuia ya wazazi. Wote wakora tu hakuna msafi hata mmoja
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
BULEMBO ni mzurumaji,mwizi na tapeli ndio maana yuko level nyingine!!!Polepole unamfananisha na Bulembo? Bulembo level ingine
Mie nacheka tuBULEMBO ni mwizi na tapeli ndio maana yuko level nyingine!!!
Mbona anawasifia sana siku hizi tangu JPM aondoke? Nani anagharamia makala zake mitandaoni? Je, madai aliyokuwa anadai kipindi cha nyuma alishalipwa?Hiyo Press conference ataifanyia wapi? Labda aende Kenya. Wana fitina CCM wewe waone hivyohivyo.
Kweli level nyingine, kuua jumuia nzima lzm uwe level nyinginePolepole unamfananisha na Bulembo? Bulembo level ingine
Kwani maendeleo yake kwa sasa yapoje?,nilisikia kapelekwa India kwa matibabu akiwa na hali mbaya sana.BULEMBO ni mzurumaji,mwizi na tapeli ndio maana yuko level nyingine!!!
Kwani maendeleo yake kwa sasa yapoje?,nilisikia kapelekwa India kwa matibabu akiwa na hali mbaya sana.
Amepooza mda sana,hutakaa umsikie siku za karibuni.Kama ni kweli yuko India; kweli malipo hapa hapa duniani , Bulembo kamdhulumu nyumba mama wa watu mpaka Leo analala nje mvua inamyeshea na wanawe!!!
Amepooza mda sana,hutakaa umsikie siku za karibuni.