PP ni messenger anayefanya kazi yake vizuri, na ataishia kuwa Messenger.
Huyu hampendi Kinana hata kidogo, kwani kinana alipokuwa KM, alipiga fullstops nyingi na kusikata viherehere vyake.
Mheshimiwa Kinana alishamuona kuwa ni mharubifu na hafai katika nafasi za juu CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app