Polepole wa enzi zile akizungumzia sifa za Kiongozi bora

PP ni messenger anayefanya kazi yake vizuri, na ataishia kuwa Messenger.

Huyu hampendi Kinana hata kidogo, kwani kinana alipokuwa KM, alipiga fullstops nyingi na kusikata viherehere vyake.

Mheshimiwa Kinana alishamuona kuwa ni mharubifu na hafai katika nafasi za juu CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Alinikosha kwa macho makavu akaitisha press conference kuwa wagombea wote wa upinzani wameshindwa kujaza fomu. Ni mnafiki lopolopo.
 
Bwana eeh pata cheo pata pesa jamii ikujue upande wako.

By

Mtoto wa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…