Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Ulishacheza mchezo wa CHESS mkuu...Saizi anaonekana kama hana ushawishi lakini akianza kufunguka mazito inaweza kuwa hatari kwa watawala.

View: https://www.facebook.com/share/v/1GoS18PVZh/
Updates Polepole
Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM
Anaongea facts tupu.Aendelee kupiga kwenye mshono. These thugs deserve it!
View: https://www.facebook.com/share/v/1GoS18PVZh/
Updates Polepole
Wale mnanitafuta acheni tu mimi ninaongea kama Mtanzania na kama mwana CCM
Hekima ingewaongoza viongozi wetu kuleta Tanzania pamoja katika kuelekea uchaguzi. Wagombea wa CCM kiti cha urais wamejilazimisha kuwa wa gombea wa CCM.