Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Hata Chacha wangwe, Sumaye ,Lazaro Nyalandu walitumia haki zao pia lakini wakauawa na kufukuzwa"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Aseee!"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Haka kajamaa kaache unafiki.!"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Hahaaaaa...wewe jamaa mpaka utakapojifungua hiyo mimber ya "CDM", utakuwa umekuwa kama kinyesi.Hata Chacha wangwe, Sumaye ,Lazaro Nyalandu walitumia haki zao pia lakini wakauawa na kufukuzwa
Huyu ubongo umejaa fungus, serikali yao ya wauwaji ya awamu ya tano mbona walikuwa hawataki kukosolewa?"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Dah, yaani nje ya mada kabisa. Pole sanaHata Chacha wangwe, Sumaye ,Lazaro Nyalandu walitumia haki zao pia lakini wakauawa na kufukuzwa
Kuna kukosoa na kutukana na kutaka kupindua meza sasa huyo membe alikua kwenye lipi?"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Aliiona Tanzania iko mfukoni mwake."Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole
My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Hahahaha, sikutegemea kama Polepole anaweza kujifedhehesha namna hii, mwenzake Bashiru kachutama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]just [emoji23][emoji23][emoji23]