Huyu nae akae Kimia ,Kipindi Cha mwendazake naye akiwa kuaribu na mwendazake mbona kila aliekosoa alionekana adui wa TAIFA? Nikipindi watu wametoweka makwao mpaka leo hatujui WAKO wapi ,ni juzi tu wengine waliopita mwaka 2017 wanakutwa na majeraha wamekufa kwenye vyumba vya kifadhia maiti, anakwepaje laana hiii, pole pole ,Bashiru mkatubu , uchafu ulifanyika chini YENU, na boss wenu mwendazake ni MKUBWA Sana , ukiendelea na bila kutubu KWa imani YAKO tutamuomba mungua Angalau azibe kiungo kimoja kwenye mwili WAKO ila isiwe pumzi, tutaomba akazibe njia ya haha mdogo , nakupa siku 30 ukatubu ,ambatanisha toa msaada KWa masikini usiopungua m10 , nimemaliza ,ukidhalau hutajua KWAMBA hujui