Polepole washamjulia kelele zote ni njaa! Wakati wa jukwaa la Katiba akatupwa kwenye Bunge la Katiba, na Wakati wa kelele za "wahuni" katupwa Ubalozi

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke.

Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba.

Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna kitu kijana anasumbuliwa na njaa tu!!

Akamweka kwenye bunge maalumu la katiba!! Polepole kupata maposho Yale kawasahau kabisa wanaharakati wenzake wa kudai katiba mpya!!

Awamu ya Tano ikamsogeza ndani ya system ya chama Polepole akawa pole kweli!! Awamu ya sita ikamtupa nje ya system!!

Njaa ikampiga! akaanza kelele, wakamtupa kwenye bunge, hakutosheka! alishazoea viti vya mbele! Kelele hazikuisha! Akaja na shule ya uongozi kama jukwaa la kuwatupia madongo watawala!!

Akaja na msamiati wa kuwaita "wahuni" wale anaojua wanakula kuku kwa mrija!! Mama akaona isiwe taabu!! Akamtupa kwenye ubalozi, Polepole kimyaa!!

Hakuna Cha shule ya uongozi Wala wahuni!! Na huo msamiati keshausahau!! Huyo ndiye komredi Polepole!!

Akiwa na njaa utamjua tuu, makelele mengi ya uzalendo bandia lakini akitupiwa Cha kutupiwa kimyaa!! Komredi unaendeleaje huko Malawi!! Wahuni wameishia wapi?

Wembe ule ule uliomtuliza pole pole unaelekea kumtuliza mpiga makelele mwingine huko ughaibuni Ubelgiji!! Keshaanza kuimba sifa za mama tayari Japo bado anajifanya kujibaraguza kwa kuchora mchangani kwa kutumia kidole gumba Cha mguuni na kuuma uma kidole!! Yetu macho!!
 
njaa ni kitu mbaya sana

kashaukwaa ubalozi saa hizi kimyaaaaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] .........chawa bhana!!
 
Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke.

Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba.

Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna kitu kijana anasumbuliwa na njaa tu!!

Akamweka kwenye bunge maalumu la katiba!! Polepole kupata maposho Yale kawasahau kabisa wanaharakati wenzake wa kudai katiba mpya!!

Awamu ya Tano ikamsogeza ndani ya system ya chama Polepole akawa pole kweli!! Awamu ya sita ikamtupa nje ya system!!

Njaa ikampiga! akaanza kelele, wakamtupa kwenye bunge, hakutosheka! alishazoea viti vya mbele! Kelele hazikuisha! Akaja na shule ya uongozi kama jukwaa la kuwatupia madongo watawala!!

Akaja na msamiati wa kuwaita "wahuni" wale anaojua wanakula kuku kwa mrija!! Mama akaona isiwe taabu!! Akamtupa kwenye ubalozi, Polepole kimyaa!!

Hakuna Cha shule ya uongozi Wala wahuni!! Na huo msamiati keshausahau!! Huyo ndiye komredi Polepole!!

Akiwa na njaa utamjua tuu, makelele mengi ya uzalendo bandia lakini akitupiwa Cha kutupiwa kimyaa!! Komredi unaendeleaje huko Malawi!! Wahuni wameishia wapi?

Wembe ule ule uliomtuliza pole pole unaelekea kumtuliza mpiga makelele mwingine huko ughaibuni Ubelgiji!! Keshaanza kuimba sifa za mama tayari Japo bado anajifanya kujibaraguza kwa kuchora mchangani kwa kutumia kidole gumba Cha mguuni na kuuma uma kidole!! Yetu macho!!
Ile issue ya gheto lake walilosasambua iliishia wapi!
 
Back
Top Bottom