The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Chama chetu kimetekwa, lakini bado tunaendelea kuwatia moyo hasahasa mwenyekiti wetu afanye mageuzi makubwa ya Chama cha Mapinduzi, atuondolee kundi la wanamtandao kisha atuwekee mchakato mpya kwa kupata wagombea wapya wa Chama Cha Mapinduzi. Wahuni wamejimilikisha chama, wamewashika viongozi wetu na wanafanya wanavyotaka... udhaifu wa CCM ni udhaifu wa serikali" - Humphrey Polepole