#COVID19 Polepole: Watanzania tuendeleeni kutumia njia za asili kupambana na Corona


Mkuu kama huitaki haitaingia kwenye damu yako. Kama unasema wanataka kutubadilisha basi ukiri pia nao wanajibadilisha kwa sababu wanachanjwa chanjo hizo hizo, au unasema sisi zetu zitakuwa ni mbaya??

Kumbuka pia ni hiari. Badala ya kuleta dhana hapa - jikite kwenye kuikataa chanjo isiingie mwilini mwako. Wanaotaka kuchanjwa watumie uhuru wao. Ninahisi maisha yako ni ya nyumbani zaidi, ungekuwa unajua adha za watu wengine na wanafanya nini na wanaishi wapi - usingeleta mawazo yaliyofungwa. Bro, exposure ni muhimu sana. Tanzania sio dunia, ni sehemu ya dunia. Huenda hujui hata ili mtu asafiri kwenda nchi nyingine sasa ni lazima aoneshe hana covid19!! Exposure! Exposure! Na kuipata sio lazima usafiri kwenda nje - hapo hapo ulipo unaweza kujifunza mambo yanayotokea sehemu nyingine ya dunia.

What an immature brain!!
 

Wewe mwenye exposure hujaona nchi unazoziona za maana sana kwako km na wao wanagomea chanjo...

Hujaona watu wanakufa kwenye hizo nchi sababu ya hio chanjo...

Tumepewa ubongo ili tu question mambo sio kila kitu unaambiwa ni sawa tu kisa wamekwambia wazungu, km vile wao hawakosei..
 
Waliochanjwa ndiyo wanaongoza kwa kupata Omicroni
 

Unatembelea V8 Na vioo umefunga , hiyo nayo ni njia ya kujikinga Na Corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…