#COVID19 Polepole: Watanzania tuendeleeni kutumia njia za asili kupambana na Corona

Hizo chanjo zina masumu ya muda mfupi na muda mrefu.

Usipokufa ghafla basi jiandae sumu kukuvuruga kwa muda mrefu ujao.

Ini, figo, DNA destruction na mengine mengi.

Madalali wa chanjo hawataki kusikia hayo.

They are very vicious and money-propelled like zombies.
Mataga mnamuangusha sana Samia,
Kwa hiyo Rais na kamati yake hawana akili..?!
 
Si uifuate tu hiyo chanjo kama Mbowe alivyofanya?
Mwendawazimu na Samia si ni kitu kimoja, au ?!
Kumuona Samia na kamati yake hawana akili , unakosea sana Bashite.
Kubali tu zama zimebadilika.
 
Kamati imepuuzwa maagizo yake yote
 
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?

Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!

Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.

Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii

Hizo njia hazikusaidia lolote mlificha takwimu mkadanganya corona hamna huku watu wanakufa, acha uongo wewe
 
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?

Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!

Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.

Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii

Huyo ni mpuuzi na mwongo mkubwa. Ni nani aliyemdanganya kuwa katika East Africa ni Tanzania tu ndiyo ambayo uchumi wake ulikua mwaka 2020?

Mtu akiongea uwongo kwa mambo yaliyo wazi, ni kumpuuza. Hakuna haja ya kufuata hekima ya mjinga na mnafiki.

Kenya: economic growth 2020 was 1.7%

Rwanda: economic growth 2020 was 6.7%

South Sudan: economic growth 2020 was 3.2%

Uganda: economic growth 2020 was 4.3%[

Sasa kusema ni Tanzania tu katika East Africa ndiyo ilikuwa na economic growth, sijui kama amekosa uelewa, au ni unafiki?
 
Kaangalie takwimu za world bank na NBS .

Jinga kabisa wewe
 
Kumwamini Mungu sawa ila tunapinga huo uganga wa kienyeji wa miti shamba Mungu yachangamani na uganga
 
Polepole apuuzwe tu kama anataka kupiga nyungu apige tu
Hawa ndiyo waliomdanganya Mzee wa watu kuhusu Corona ............ Msukuma, Jaffo na Dr. Gwajima mbona siku hizi hatuwasikii tena wakija na zile story zao za KUJIFUKIZA ....!!
 
Wacha mboyoyo wewe!

Kelele mingi mtoto mdogo unajitutumua!
Pambaf kabisa, ooh kunyweni Bupiji, pigeni Nyungu, kunyweni Tangawizi, Mwanangu alipata akapona kwa kujifukiza.
Msivae Barakoa
Mamaaae Dude likamwambia Mimi sitaki Zereu, likapita nae chaaaap, kama Mwewe.
 
Africans stand up siyo kila kitu wazungu tutaangamia! Tusifanywe wajinga siku zote
Screenshot_20210617-091708_Facebook.jpg
 
Pambaf kabisa, ooh kunyweni Bupiji, pigeni Nyungu, kunyweni Tangawizi, Mwanangu alipata akapona kwa kujifukiza.
Msivae Barakoa
Mamaaae Dude likamwambia Mimi sitaki Zereu, likapita nae chaaaap, kama Mwewe.
Ndo nini?
 
Back
Top Bottom