Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Polepole: Watu Wasiojulikana Wavamia Nyumba ya Dada Yangu Bahari Beach, Wadai Wamefuata Taarifa – Nakwenda Kujiridhisha
View attachment 3409323
Polepole alishakua big 3 ya watu wenye nguvu zaid kwenye hili taifa, saiv kiko wapi? Mjitazame na nyiePolepole aache uzushi.
Yupo na hana stress ya kufanywa chochoteKwani Polepole yupo dar hapa?
Ulijua yupo wapi?Kwani Polepole yupo dar hapa?
huyu si alikuwa Sweden, kafika Dar lini?Ulijua yupo wapi?
Sweden ya wapi, yupo dar. Mtandaoni ukiokota kila kitu inakula kwakohuyu si alikuwa Sweden, kafika Dar lini?
Polepole aache uzushi.
Sikuwa najua hili mkuuYupo na hana stress ya kufanywa chochote
Nilidhani hajarudi huko alipokuwaUlijua yupo wapi?
Kwani Polepole yupo dar hapa?
Yupo na hana stress ya kufanywa chochote
Ulijua yupo wapi?
huyu si alikuwa Sweden, kafika Dar lini?
Alishaondoka Cuba muda mrefu tu kabla hata ya kuresignNilidhani hajarudi huko alipokuwa
Kazi ipo! Polepole mwaga mboga tunakusubiriWakuu!
Usiku huu Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."
"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."
Andiko lake limekuja masaa kadhaa kuelekea mkutano wake na Vyombo vya Habari baada ya kutangaza kusogeza mbele kutoka Julai 17 hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi.
View attachment 3409323
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.