GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Basi upewe wewe kazi ya ubalozi kama ni rahisi au kama siyo spy.
Unatokea pori gani?
Yaani nitoke kwenye ulaji aliokuwa amepewa na jiwe mpaka kuwa balozi wa kyuba, hivi kyuba mnakujua au ndio nyinyi humu mnasema kyuba ni ulaya
 
Labda hawajataja kumkamata. Hata gwajima walienda kumtafuta kanisani kwake wakamkosa wakaachana nae. Gwajima alivyoenda kwa kitima wangemkamata Ila wakapotezea
Sasa siwanaogopa pia kuzua taharuki maana ana influence yule Kwa waumini wa dini so suala lake ukiliendea Kwa pupa sana unaweza kusababisha machafuko nchini Kwa mwamvuli wa Imani
 
Labda hawajataja kumkamata. Hata gwajima walienda kumtafuta kanisani kwake wakamkosa wakaachana nae. Gwajima alivyoenda kwa kitima wangemkamata Ila wakapotezea
Nasikia Mtumishi Gwajima huwa anabadilika badilika yaan unaweza ukasikia yuko kwa Father kitima unafika unaona ni katoto kumbe umepigwa upofu ni yeye ila macho yako yanaona ni katoto kavulana tu 🤣🤣
 
Drama hii

Hatasumbuliwa
 
Hana hizo threats
 
kwa hiyo Press itakuwepo, au ndo tusubiri hadi hapo tutakapotangaziwa tena?
kwa nini Polepole naye asifanye tu Press ya kushitukiza kama ambavyo Askofu Gwajima huwa anafanya?
 
Pole pole si wa kumuamini sana,maana ni kinyonga
 

Attachments

  • e94895efd9952a574425bf3a140e0faa.mp4
    11.9 MB
Polepole aache uzushi.
Wewe inaonekana ndiyo uliopanda ukuta pamoja na UVCCM na chawa wa mama. Mtu anasema kilichotokea, wewe unapanua domo lako eti aache uzushi. Pumbavu punda wewe. Wakati mwingine ni vyema ukafikiri kwa kutumia ubongo wako kuliko kutumia kiungo kingine kufikiria wewe pimbi.
 
Tulijua tangu siku ya kwanza, UVCCM na machawa wa mama wasingelala, wangejaribu kila kinachowezekana kukufanyia vurugu wewe na familia yako. Usijali, haki siku zote hushinda
 
Huyo ngedere atulize makalio
 
Kweli power inakuja na Kuondoka, Leo Polepole amekuwa mtu wa Kulia Lia Mitandaoni? Hahaha Huyu jamaa alifika mahali pajuu sana kwenye maamuzi ya ili Taifa he was untouchable kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…