Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful demonstrators and journalists | Change.org


Ninapata shida sana na maneno hayo kwanye red.

Je ni kweli kuna clashes na hasa hapo kulikuwa na clashes? Au lugha imenishinda?

Mimi nanouna kuwa ni muhimu sana kutumia maneno sahihi. Kutumia mapambano kati ya wafuasi wa CHADEMA na polisi kwanza siyo kweli, pili inaonyesha polisi walikuwa na haki kutumia nguvu zaidi katika mapambano. Zaidi hawa unaowatumia petotion wataona mazingira hayo ni ya vita vita . Kuna mwanajamvi mmoja humu alielezea waandishi na wafuasi wa CDM kuikubali propaganda hizi.
 


The recent gruesome murder of journalist, Daud Mwangosi, by the police, and the failure of the President to speak out against this incident and many others, indicate that there is a concerted effort by the government of Tanzania to suppress democracy, civil rights and the growing Movement for Change (M4C) in the country.
 
waanze na vifo vya Iraq na Afighastan walikosababisha vita mbona vifo vya Tanzania cha mtoto?
 
Mkuu, uko sahihi kabisa, nadhani mwandishi hajatumia lugha mahali pake.
 
Tuwakumbuke pia wazanzibar zaidi ya sabini ktk tukio la kusikitisha la januari 21.waislam waliouawa pale mwembechai.bila kusahau kunyang'anywa uraia mwandishi mkongwe jenerali ulimwengu na mengine mengi yanayotokea karibu kila siku.
 
Tuwakumbuke pia wazanzibar zaidi ya sabini ktk tukio la kusikitisha la januari 21.waislam waliouawa pale mwembechai.bila kusahau kunyang'anywa uraia mwandishi mkongwe jenerali ulimwengu na mengine mengi yanayotokea karibu kila siku.

behewa lipitalo reli ya kati haliwezi kupita reli ya tazara.
Kuna tofauti ya vipimo vya upana wa reli.
Nimekupa taarifa nawe ujiongeze, usisubiri kutafuniwa kila kitu.
 
Nalikwisha timiza wajibu wangu.
 
FUATA LINK HII KUONA HABARI CNN iREPORT. UNAOMBWA UKOMENT NA SHARE LINK HII

Petition Goverment of Tanzania - CNN iReport


HII NI PAGE YA PETITION. TAFADHARI CHUKUA DAKIKA MBILI KUSIGN

Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful demonstrators and journalists | Change.org

HAPA WAMEANZA KUTUSIKILIZA KIAINA

United Nations News Centre - UNESCO chief denounces killing of Tanzanian journalist

TUNATARAJIA KUPELEKA SIGNATURE NA PETITION LETTER KATIKA KIKAO CHA UN KIJACHO CHINI YA WEEK MBILI. NA PETITION LETTER NYINGINE ITAKUWA ATTACHED NA SAHIHI HIZI ITAPELEKWA STATE DEPARTMENT WASHINGTON DC. BREAK YA PILI NI WHITE HOUSE.

Nitamfikishia Susan Rice personal. Ambaye ni American diplomat, former think-tank fellow, and civil servant. She is United States Ambassador to the United Nations



Asanten kwa ushilikiano wenu. Tufanye hili kumuenzi Mwangosi na namu yake isiende BURE.
 
Hii ni kutoka Mara na inadaiwa tukio limetokea wiki hii

Huyu mtoto sijui hata alifanya kosa gani mpaka apasuliwe kichwa na polisi. cc King of Kings

 
Mi inaniuma sana alafu mtu kwa akili zake ndogo anaropokea mitandao ya kijamii huku yeye mwenyewe akificha kivuli chake shame on you policcm
 
Mungu Wangu!

Inadaiwa kuwa huyo mtoto alikuwa na umri wa miaka 9 tuu. Jina lake ni Deo Yakob.

Inadaiwa kuwa polisi walikuwa katika pilikapili za kukamata majambazi.

Sasa sijui kama mtoto alikuwa ni jambazi na hata kama alikuwa wasingeweza kumshtaki mahakamani probably kutokana na kuwa chini ya miaka 10.

Hata hivyo kuna mdau alisema haya jana.


https://www.jamiiforums.com/habari-...isasi-tarime-wananchi-waingia-barabarani.html

cc. raymg
 
Last edited by a moderator:
Tume ya haki za binadamu na wanaharakatika wanusurini watanzania na mateso haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…