Mwanafunzimg
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 392
- 80
Wacheni fitna, hayo si mazoezi tu hata mgambo wanafanya. Watu mmekaa kupiga siasa lakini hamna nia ya kufanikisha chochote zaidi ya kutafuta madaraka. Kila siku kusifia rwanda mnadhani kagame amekalia kupiga siasa? Kama tumesema ni operation maaluum sasa mlifikiri nini kinafanyika ili kubaini mtandao wa majangili.
JIVUE USHABIKI NA UKADA:Ingekua mmoja wa wanafamilia wako amefanyiwa yale yaliyosemwa kwenye riport ungeandika uliyoandika?