King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Noma Sana tumefikia hapa kwa udhaifu wa mjomba(kaka yake mama)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kichura na viboko si mambo ya kawaida huko jeshini. Kwao ni sehemu ya mafunzo ya ukakamavu na uvumilivu.
Kiongozi wa N.korea kamua mjomba wake na watu wanaomuunga mkono kwa kutumia antiaircraft machine gun hapo watu wa haki za binadamu mnasemaje?
haya mambo ya kawaida kwa serikali yeyote, ninachoshangaa serikali yetu imeshindwa vipi kufanya usiri wa shughuli hii mpaka imevuja kwa wanaichi au ndio tunapungukiwa utaalam na vitendea kazi?
eneo la shughuli kunatakiwa kusiwe na aina yeyote na network ya kiraia kwa ajili ya mawasiliano angalau siku moja kabla ya shughuli kisha vijana wanaingia usiku wa manane kwa kushtukiza na kufanya kazi yao kwa ustadi wa hali ya juu sana.
Hii video haikutakiwa kufika hapa maana kwa mwanaichi wa kawaida ni vigumu kumuelezea hili suala akaelewa ndio maana hata kunakuwa na pande mbili za kupinga na kukubali ila huwezi pata suluhu na kusonga mbele bila kufunga mkanda na kujikaza kiume.
Vijana wametekeleza oda ya mkuu wao wa kazi hawana kosa lolote, uzembe mdogo waweza kua umejitokeza kwa waandaaji wa shughuli ndio maana wanasiasa wametumia mwanya japo walishaapa kuilinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwisho natoa pole kwa waliokumbwa na hii operesheni kimakosa.
**Ni mtazamo wangu tu, si kwa nia mbaya wakuu.
Acha kuropoka hao waliokuwa wanapigwa ni wanajeshi?okay hata kama kilichoonyeshwa kwenye video hii ni cha kawaida sana kwa wanajeshi je misumari ya nchi sita matakoni,je vipi chupa sehemu za siri za wanawake,je kuu-do mti mpaka umalize haja zako kwa mwanamme tena mbele ya familia yako?Sasa kichura na viboko si mambo ya kawaida huko jeshini. Kwao ni sehemu ya mafunzo ya ukakamavu na uvumilivu.
Kiongozi wa N.korea kamua mjomba wake na watu wanaomuunga mkono kwa kutumia antiaircraft machine gun hapo watu wa haki za binadamu mnasemaje?