Mwanafunzimg
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 392
- 80
Wacheni fitna, hayo si mazoezi tu hata mgambo wanafanya. Watu mmekaa kupiga siasa lakini hamna nia ya kufanikisha chochote zaidi ya kutafuta madaraka. Kila siku kusifia rwanda mnadhani kagame amekalia kupiga siasa? Kama tumesema ni operation maaluum sasa mlifikiri nini kinafanyika ili kubaini mtandao wa majangili.
Hodari wa kushinikiza (hoja ya nguvu), lugha chafu kama mdomo wako. kwani huwezi kutoa hoja mpaka utoe lugha chafu?Kwa hiyo kwa ujinga huu wa kufikiri kwako, wale mawaziri waliojiuzulu kwa shinikizo la siasa za watafuta madaraka? Ulisoma ripoti ya bunge inayohusu kampeni hii ya tokomeza? Kula ugali wako ukalale, usiandike ujinga kwenye jambo ambalo linahuzunisha taifa zima! Shame on you!
Weka picha ndio tu amini, maneno matupu hayasaidikishi sana.
Yaani wewe acha,watu waliteseka sana!
Hiyo vieeo mbona kama wanapiga tizi tu jeshini, Hao kama ni majangiri hiyo haiwatoshi kabisa, ni watu wabaya sana wale,mkuwachapa viboko hivo wakitoka wanarudi kulekule, adhabu kubwa inastahili...kiukweli inaumiza sana. kabla ya kuchangia chochote inabidi tujiulize maswali kadhaa, la sivyo tunaweza kuwalaumu watenda na watendewa kimakosa. Ndugu zangu Tanzania ya leo inaongozwa kisiasa zaidi ndio maana haya yote yanatokea. kama kweli watendwa katika video imethibitishwa wamehusika na ujangili basi adhabu waliyopewa wamestahili. swali la kujiuliza, je adhabu waliyopewa inawahusu wao moja kwa moja au kuna wakubwa nyuma ya pazia?!
Nimesoma comments wee ila sielewi kinachoendelea, kila mtu na lake, hiyo video nayoona, Si wanafundishwa ukakamavu jeshini kweli? hivo viboko mi naona kama tizi tu jeshini, tena tizi majeshi mengine ziipo hiyo cha mtoto, Ila kama ni wana makosa wanachapwa inategemea na kosa, mfano mtu kama gaidi unadhani hilo lina mtosha? hilo kidogo sana, hilo labda wenye makosa madogo madogo kama mwizi vile... Hata jambazi anastahili kikubwa zaidi ya hicho, ka unadhani hastahili ngoja siku uingiliwe wakukate mkono na miguu au wamchome kisu mzazi wako mbele yako ndio utaona kama. wanastahili hivho au zaidi..
Nimesoma comments wee ila sielewi kinachoendelea, kila mtu na lake, hiyo video nayoona, Si wanafundishwa ukakamavu jeshini kweli? hivo viboko mi naona kama tizi tu jeshini, tena tizi majeshi mengine ziipo hiyo cha mtoto, Ila kama ni wana makosa wanachapwa inategemea na kosa, mfano mtu kama gaidi unadhani hilo lina mtosha? hilo kidogo sana, hilo labda wenye makosa madogo madogo kama mwizi vile... Hata jambazi anastahili kikubwa zaidi ya hicho, ka unadhani hastahili ngoja siku uingiliwe wakukate mkono na miguu au wamchome kisu mzazi wako mbele yako ndio utaona kama. wanastahili hivho au zaidi..
Mkuu mbona unajibu kwa jazba hivo? Ndio maana kwenye comment yangu nimeuliza ni kwa nini, nini kinaendelea? sasa badala ya kunijibu ili na mimi nijue unaanza na kuhope mke au mtoto wangu abakwe, sasa na hawatobakwa ng'o, huo uchawi wako haufiki hapa, Jibu swali, kinachoendelea hapo ni nini, hao watu wamefanyeje, na una uhakika na unachokisema kuhusu hiyo video isije kua propaganda, sasa kwa nini watu wafanyishwe hivo kama wako kwenye haki? maswali ni mengi but umekalia vita na mimi hata hunijui! hahaha polepole mtanzania, hua siungani na upande ambao uko wrong, na ndio maana comment yangu iko both sides since i can't side huku sijui kinachoendelea, i prefer urudie kusoma comment yangu tena uimalize uielewe na utubu kwa kunipa laana za kipumbavu ambazo hazijashika zisije kukurudia mwenyewe.. kwanza huyo aliyebakwa kafanyweje? wengine habari sa Tanzania zaidi ya JF hakuna sehemu tunaweza zipata hamna ItV wala StarTv huku..Kuna dada walimbaka na alipolalamika wakasema wanampa Ukakamavu wa Kinembe.
I hope kuna siku Mkeo/Binti yako ata-BAKWA ili na yeye apewe Ukakamavu.
Seriously????? Kua na moyo wa huruma!
MunduNa mateso waliyopata watu wetu Mtwara yangewekwa kwa picha kama hizi...hakika jamaa wa "Ze Hague" wangetua bongo....
Like Sabibo Camp like Operesheni Tokomeza. Na hii ni just a drop of ice berg...unaweza kupata wakati mgumu kujiuliza kwa nini hadi sasa serikali haijawajibika kikamilifu katika unyama huu waliofanyiwa Watanzania.
Hivi unaweza kujiuliza kwenye hizo kambi vingapi hatujavijua vilifanyika? Kama hadi sasa, kwa mujibu wa Tundu Lissu akihutubia mkutano wa Shelui na Gervas Mbasa akihutubia Nanga, wapo watu tena akina mama walipigwa misumari ya nchi sita masikioni, wanaume walilazimishwa kufanya mapenzi na miti hadi wamalize haja zao, wengine wakatiwa chupa na misumari sehemu za siri. OMG! Mangapi hatuyajui!
Shameful condition...but they should know exactly, no condition is permanent (The State of Africa; A History of Fifty Years of Independence [Martin Meredith].
Kama Mwangosi aliuwawa kikatili zaidi na video zikaonyesha lakini bado wahalifu wanadunda mtaani na wengine kupandishwa vyeo,hata hii nayo itapuuziwa tu na hawa watawala "mchwara"
just assume kati ya waliobakwa na kusokomezwa chupa sehemu za siri ni mzazi wako..