Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Shida sio POLISI ni watawala wa nchi.
Rais na PM wakikataza wasiuwe watu wataacha.
Wanafurahisha wakubwa kwa umwagaji wa damu za watu.
Nani awakemee??
 
Nimeshindwa kukuelewa
 
Mbona hukuwahi kuandika kabla? Kaka, hebu acha ndio maana unakosa teuzi.
Mkuu Elli Mshana , karibu pande hizi na uangalie tarehe ya bandiko!.
P
 
Mkuu Elli Mshana , karibu pande hizi na uangalie tarehe ya bandiko!.
P
Mkuu, wala sina wasi wasi na maandiko yako, haya ni baadhi ya maandiko yako na wala sina hofu na hilo ila haya yanaweza kuwa tone la maji kati ya maandiko yako mengi uliyoandika. Hata hivyo ilikua ni angalizo tu na una uamuzi wa kuboresha au kubakia katika mrengo huo huo
 
Hili la polisi kuua panya road, Maelezo ya Polisi kuhusu Panya Road hayaeleweki. Kwanini wanaua na siyo kukamata? Je, ni yale yale ya akina Zombe yanajirudia?
watu wanapiga kelele utadhani haya mauaji ya polisi with impunity hawa polisi ndio wameanza leo!, hawakuanza leo, huu sio mwanzo, na wala huu sio mwisho unless something is done kuzifuta amri batil al-halal kama hii ya kwenye bandiko hili Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
P.
 
Nashauri kwa negligence iliyofanywa na Jeshi letu la polisi kuhusu kadhia hii ya kifo cha Mzee Ali Mohamed Kibao, Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu , kukutwa ameuwawa na mwili wake kutupwa eneo la Kunduchi Ununio,
watu wanne wawajibike!.
1. Waziri - kwa ajali kazini
2. IGP - kwa negligence ya RPC wake
3. RPC -DSM - negligence
4. OCD Kinondoni - negligence, na hawa wawili wa mwisho RPC na OCD wanaweza kufikishwa kwa Pilato!.

Ni wakati sasa Rais Samia kukasirika kama enzi za Nyerere na kuchukua hatua!.
P
 
Nashauri kwa negligence iliyofanywa na Jeshi letu la polisi kuhusu kadhia hii ya kifo cha Mzee Ali Mohamed Kibao, Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu , kukutwa ameuwawa na mwili wake kutupwa eneo la Kunduchi Ununio,
watu wanne wawajibike!.
1. Waziri - kwa ajali kazini
2. IGP - kwa negligence ya RPC wake
3. RPC -DSM - negligence
4. OCD Kinondoni - negligence, na hawa wawili wa mwisho RPC na OCD wanaweza kufikishwa kwa Pilato!.

Ni wakati sasa Rais Samia kukasirika kama enzi za Nyerere!.
P
 
Amygdala, ni Sehemu ya ubongo ambayo hushughulikia na hofu, wakati ukifanya hivyo husababisha ubongo kuahirisha kufikiri, naomba sana madaktari watoe elimu hii adimu ili iweze kutusaidia kwenye maamuzi,
 
Una maanisha nanilii ana ugua ugonjwa wa amygdala?
p
 
Una maanisha nanilii ana ugua ugonjwa wa amygdala?
p
Kila binadamu akipata hofu, amygdala ndiyo kitengo kwenye ubongo hushughulikia hofu tu, na wakati kinafanya hivyo binadamu huahirisha kufikiri vitu vingine mfano uko dukani mlango wa duka lako uko wazi unashangaa kundi la watu wanakuja kwa wingi wengine, wanapita wanalia wewe badala ya kufunga duka unajikuta nawewe unajiunga nao baada ya kuelewa nini kimetokea hofu inaondoka ukirudi dukani wenye akili timamu, (wezi), unashangaa wamebeba baadhi ya vitu, awii!! awaa!!, (Are you there, yes we are)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…