Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,605
- 3,176
Mojawapo ya disadvantage kubwa tuliyo nayo katika kuujulisha ulimwengu ni kuwa hatuna watu ambao wako fast enough kutoa taarifa. mara nyingi hadi habari ije muda unakuwa mepita sana.
Kuanzia Arusha na Mbeya watu wa CNN walitaka taarifa kutoka kwangu na mimi nikawafuatilia watu Mbeya na Arusha hadi leo hawajajibu! Labda tatizo niliwaambia wanaweza kuhojiwa na CNN kwa ajili ya habari n.k wakaamua kusepa!
Mkuu Mwanakijiji,
Mbona picha za matukio ya Arusha na Mbeya zilitundukwa hapa jamvini na habari kusambaa kwa mapambano yaliyokuwepo kati ya polisi na raia. Ni habari ipi uliyotaka zaidi ili CNN waweze kuirusha? Unapojibu, tilia maanani kwamba mimi siko kwenye line ya uandishi wa habari hivyo siijui miiko yenu!!!!!
Tiba