Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Mojawapo ya disadvantage kubwa tuliyo nayo katika kuujulisha ulimwengu ni kuwa hatuna watu ambao wako fast enough kutoa taarifa. mara nyingi hadi habari ije muda unakuwa mepita sana.

Kuanzia Arusha na Mbeya watu wa CNN walitaka taarifa kutoka kwangu na mimi nikawafuatilia watu Mbeya na Arusha hadi leo hawajajibu! Labda tatizo niliwaambia wanaweza kuhojiwa na CNN kwa ajili ya habari n.k wakaamua kusepa!

Mkuu Mwanakijiji,

Mbona picha za matukio ya Arusha na Mbeya zilitundukwa hapa jamvini na habari kusambaa kwa mapambano yaliyokuwepo kati ya polisi na raia. Ni habari ipi uliyotaka zaidi ili CNN waweze kuirusha? Unapojibu, tilia maanani kwamba mimi siko kwenye line ya uandishi wa habari hivyo siijui miiko yenu!!!!!

Tiba
 
Ni wahuni tu wanaficha sura zao !
normal_moro9.jpg


.

Mawakala wa mafisadi! *&%$#@ zao sana

Waende zao wakapambane na majambazi, siyo raia wema!
 
Mojawapo ya disadvantage kubwa tuliyo nayo katika kuujulisha ulimwengu ni kuwa hatuna watu ambao wako fast enough kutoa taarifa. mara nyingi hadi habari ije muda unakuwa mepita sana.

Kuanzia Arusha na Mbeya watu wa CNN walitaka taarifa kutoka kwangu na mimi nikawafuatilia watu Mbeya na Arusha hadi leo hawajajibu! Labda tatizo niliwaambia wanaweza kuhojiwa na CNN kwa ajili ya habari n.k wakaamua kusepa!
Naungana nawe Mzee Mwanakijiji kwamba baadhi ya watanzania ni waoga kusema uovu na ugandamizaji wa serikali kupitia idara ya Polisi. Tumeshuhudia mauaji ya kule Arusha watu wakifuatwa hadi km kadhaa toka kituo kinachodaiwa "kuvamiwa" na wafuasi wa CHADEMA, lakini serikali ya kifisadi hii ilikuwa haraka kutunga uongo wake na kutoa video iliyohaririwa ili kuonyesha walichokiita "fujo" za CHADEMA.
Mimi nashauri wanaharakati tujitolee hata kupiga picha za matukio na kuziweka kwenye mitandao na wale wenye marafiki nje ya nchi hii tuwapelekee ili serikali za huko zinazodanganywa kuwa Tanzania ni kisiwa cha utulivu zijionee hiyo inayoitwa "amani".
Kwa kuanzia tu wenye uwezo wazipeleke picha hizi kwenye vyombo vya nje ili washenzi hawa wabanwe na wawajibishwe.
ccm watalipa mara mbili au zaidi kwa kila ovu wanaloitendea jamii ya watanzania.
 
Angalieni picha ya ukatili uliofanywa na polisi wakati wakiwatuliza wananchi waliovamia nyumba ya mfanya biashara mmoja juzi Iringa. Haki za binadamu sijui wako wapi?[video]polisi-ukatili.wmv[/video]
 
Mkuu Mwanakijiji, Mbona picha za matukio ya Arusha na Mbeya zilitundukwa hapa jamvini na habari kusambaa kwa mapambano yaliyokuwepo kati ya polisi na raia. Ni habari ipi uliyotaka zaidi ili CNN waweze kuirusha? Unapojibu, tilia maanani kwamba mimi siko kwenye line ya uandishi wa habari hivyo siijui miiko yenu!!!!!
Tiba

Mkuu Tiba, kwa sasa wengine tunafikiria hatua zaidi ya kutundika picha hapa jamvini JF. Lengo ni kukusanya picha, kauli za viongozi mbali mbali wa jeshi la polisi dhidi ya wananchi, kauli za viongozi wa serikali na hasa Wakuu wa Mikoa na Wilaya za kutishia wananchi kwa kulitumia jeshi la polisi - yote hii ni katika kuonyesha jinsi taifa linavyotawaliwa kimabavu kwa kulitumia jeshi la polisi.

Cha kuzingatia ni kuwa hizi taarifa hazitakiwi kuishia humu jamvini bali zisambazwe mitandaoni, kwenye media za nje, kwenye balozi mbali mbali hadi kwenye mashirika ya kimataifa na watu binafsi wanaotetea haki za msingi za binadamu. Hii kazi ifanywe na kila moja wetu kadri ya uwezo wake na mimi hii kazi nimeianza tokea jana, dunia lazima ijulishwe kinachoendelea hapa kwetu.


attachment.php

 
Ukitaka kujua uozo wa serikali ya Kikwete na Jeshi lake la polisi Jamani chukua muda wako kulitazama hii video. Mwema na Kikwete Achieni madaraka


 
Last edited by a moderator:
Hapa tatizo si polisi bali wananchi wanaowalea. Wakiwafanyia unyama nanyi mnawafanyia unyama. Kwani hamna akili? Tatizo la Tanzania ni woga. Kwanini vijana nao wasijipange wakamkamata lau mmoja wakamtoboa macho na kumfanyia ufirauni halafu wakamuacha ili liwe onyo kwa wenzake? Kama kweli polisi walimfanyia huyo kijana kitendo kile kutona na bifu na si kosa lolote basi hawafai. Ila kama alikuwa anamchukua mke wa mtu kilichofanyika ni haki kabisa.
 
Ni tatizo la kijamii kuna tatizo kubwa sana kwa sasa, haki haipatikani bila ubavu au pesa
 
hapa tatizo si polisi bali wananchi wanaowalea. Wakiwafanyia unyama nanyi mnawafanyia unyama. Kwani hamna akili? Tatizo la tanzania ni woga. Kwanini vijana nao wasijipange wakamkamata lau mmoja wakamtoboa macho na kumfanyia ufirauni halafu wakamuacha ili liwe onyo kwa wenzake? Kama kweli polisi walimfanyia huyo kijana kitendo kile kutona na bifu na si kosa lolote basi hawafai. Ila kama alikuwa anamchukua mke wa mtu kilichofanyika ni haki kabisa.

kama alikuwa anamega mke wake, kwa nini asingefanya jitihada za kumkamata? Na hapo nani mwenye tatizo, aliyepofushwa au mke wa askari? Jamaa kesha pigwa upofu, kesho mke wa askari atatafuta dume lingine, nalo atalipofusha? Nadhani tatizo ni askari mwenyewe, kwani imebainika kuwa askari wengi wanao ppr, yaani wanaoa watuhumiwa wa makosa mbalimbali, sasa ukioa mtu kahaba, usitegemee atakuja tulia katika ndoa, wakati amezoea kuzamishiwa mitalimbo hata 10 kwa siku. Wa kwako mmoja unamkuna tu, wala hata hafurahii

kesi hiyo siyo ya kuwahukumu j.k na mwema na kuwataka kujiuzulu, labda ungewataka kufanya uchunguzi na kuwabaini wauaji hao, halafu ndo haki ionekane imefanyika.

Suala lingine, ni aliyepofushwa, alienda kufungua kesi? Kama hakufunguliwa kesi, ni kulalama ambako hakutamsaidia. Kuna kipindi wanakataa kufungua kesi kwa ujambazi uliofanyiwa na polisi, kama ndivyo, mtu unatakiwa kuwaona nola-msaada wa kisheria, kule yatatengenezwa mazingira kesi itafunguliwa tena inayokidhi haja
 
Ni tatizo la kijamii kuna tatizo kubwa sana kwa sasa, haki haipatikani bila ubavu au pesa

Tatizo si la JK wala Mwema, ni lake pekee. inawezekana hata kufungua kesi ya jinai hakufanya hivyo. amebaki kulalama, polisi wamenifanyia kitu mbaya. Alitakiwa kwenda kituo kikubwa na afungue kesi, wakikataa anaweza kwenda moja kwa moja kwa IGP ofisini angesaidiwa. sasa yeye badala ya kufuata taratibu hizo, amekimbilia chanel ten kulalamika.
 
Ukitaka kujua uozo wa serikali ya Kikwete na Jeshi lake la polisi Jamani chukua muda wako kulitazama hii video. Mwema na Kikwete Achieni madaraka




kesi hii mwema na J.K wanahusika vipi? hakuna uhusiano hapo.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshindwa Kuzuia Machozi!! Kweli Hii inasikitisha sana!! Naomba Vyombo Husika Vifanye Kazi!! Huu ni Unyama uliovuka Mipaka kufanywa na Chombo Cha dola!!
 
Back
Top Bottom