VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Nimwambie kuwa anatumiwa kama zana na si binaadamu.Anaonekana hamnazo.Elimu ndogo,mshahara mdogo,upeo mdogo,nyumba ndogo,mafao madogo,akili ndogo.Sasa unaringia nini? Nimfundinshe kuidindia Serikali dhalimu ya CCM. Nimkumbushe kuwa hata Marubani wa Ndege za Kivita za Ghadafi walikaidi amri ya Ghadafi na kutorokea Mata. Nimuonye kuwa ipo siku atajuta kuwa Askari. Nipatieni mmoja tafadhali