Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Nimwambie kuwa anatumiwa kama zana na si binaadamu.Anaonekana hamnazo.Elimu ndogo,mshahara mdogo,upeo mdogo,nyumba ndogo,mafao madogo,akili ndogo.Sasa unaringia nini? Nimfundinshe kuidindia Serikali dhalimu ya CCM. Nimkumbushe kuwa hata Marubani wa Ndege za Kivita za Ghadafi walikaidi amri ya Ghadafi na kutorokea Mata. Nimuonye kuwa ipo siku atajuta kuwa Askari. Nipatieni mmoja tafadhali
 
IGP Said Mwema
 
mkuu toa elimu tuu hukohuko mtaani wataelewa tuu mi ninawangu kama wa3 wananielewa!
 
Wakuu kutokana na mlolongo wa mauwaji yanayo sadikiwa kufanywa na jeshi la polisi nchini katika mikutano au maandamano ya kisiasa na yale ya wanaharakati na jinsi polisi wanavyo toa ripoti kupinga uhusika wao katika matukio hayo. hii inanijengea shaka kuwa, HATA PALE WANAPO UWA WATU NA KUSEMA POLISI WALIKUWA WAKIRUSHIANA RISASI NA MAJAMBAZI NA KUFANI KIWA KUWAUWA, nimashaka saaana na mazingira ambayo yanakuwepo katika matukio hayo. huwenda watuhumiwa hao hufanyiwa au huu wawa katika mazingira ambayo hapakuwa na umuhimu wa kuuwawa, kwanini hata sikumoja sijasikia kuwa majambazi hao au polici kajeruhiwa???????........
NINAWASI WASI NA UPOTEVU WA DAMU NYINGI ZISIZO NA HATIA......

NI MTAZAMO WANGU TUU WAKUU..........
 
Ndg yangu Kamanda Mwema na Jk,
nimepata taarifa za ndani ya jeshi la polisi na za kuaminika kwamba kuna mkakati wa dhahili unaosimamiwa na makamishina wawili ndani ya jeshi lako wakiendesha mauaji, mateso na kila aina ya ubaya kwa raia au tasisi inayokubarika kwa wananchi, ili kusudi wananchi waichukie serikali na kujenga nguvu ya kujiami na baadae kuiondoa serikali madarakani.
Huu ni mpango unaohusisha vyeo na nafasi za uongozi ndani ya jeshi hilo baadaye 2015.
Hii sio taarifa ya kupuuzia kwani haijawahi kutokea askri zaidi ya 8 kumzingira raia asiyekuwa na hata bisibisi ya kuwadhuru na wala haleti vurugu ila wanaishia kumlipua na bomu.
 
Nimwambie kuwa anatumiwa kama zana na si binaadamu.Anaonekana hamnazo.Elimu ndogo,mshahara mdogo,upeo mdogo,nyumba ndogo,mafao madogo,akili ndogo.Sasa unaringia nini? Nimfundinshe kuidindia Serikali dhalimu ya CCM. Nimkumbushe kuwa hata Marubani wa Ndege za Kivita za Ghadafi walikaidi amri ya Ghadafi na kutorokea Mata. Nimuonye kuwa ipo siku atajuta kuwa Askari. Nipatieni mmoja tafadhali
tatizo unaropoka mno, angalia hasira zisikufanye utoe ushuzi km sio mvua ya mate!
 
Hakika nimewachukia sana police, mbaya zaid wanatumika kama mbwa ambaye akiambiwa kamata anang'ata badala ya kukamata. tazama sheria inamtaka police akamate mwalifu na kumfikisha ktk vyombo vya sheria bt yeye ana uwa na kuharasi. bora mbwa kuliko polisi wa TZ
 
Jeshi la polisi la leo halina tofauti na jambazi aliyesajiliwa kisheria, anayetumia magari na silaha za serikali ili kuua wananchi na kuwapora mali zao. Ni Jambazi aliyesaliwa serikalini kwa kazi hiyo!!

Ee Mungu okoa wananchi wa Tz dhidi ya wauaji waha, ambao hakuna mwenye uwezo wa kuwakemea!!
 
Jambazi mwenye silaha za nuklia kwa kweli hili jambazi litatafutwa na wananchi na kupondwa na mawe mpaka life
 
jeshi linakwenda kinyume na maadili na lengo lake kuanzishwa... siamini kama ndio wale jamaa zetu tunaopiga nao story mtaani kila leo.... ila hukumu yenu inakuja maana iko siku mkitupiga tunawapiga...... hakuna marefu yasiokuwa na ncha
 
Hadi hivi sasa KURA ZA CHUKI kwa CCM hazina idadi kitaifa kwa mtaji wa mauaji haya na minyanyaso ya kila aina kwa wananchi na chama wakipendacho CHADEMA.
 
Je tumekubaliana nini, tufanyeje??

A- Kuunda website ya kuonyesha haya matukio yote na kuwapa mashirika ya kimataifa.

B- Jinsi wananchi watakavyowadhibiti Polisi
 
It sucks because -
PAYE is going to be used to form all these probes a waste of time and resources
The photos are self explanatory get the ****ers on the photo and beat a living hell outta them
Should we put them thru our judicial system ..hell...manyani wanakaa kikao cha ngedere kesi ya ya Kula mahindi...if you can grasp what I mean.

I want to encourage you people that uh there's so many of us that they'll need gas chambers to finish everyone otherwise it's on baby.
Look at the photographic evidence need we say the government gives a flying **** about our constitutional right to live??!!... Hell I didn't think so.

Hapa ni zanzibar Police in action

police_brutality_1.jpg

image995435x.jpg

Police in action zanzibar

...............................................
...............................................

Kiongoz wa CDM alipokamatwa na police

benson-kigaiya-akiwa-chini-ya-ulinzi-wa-polisi-wa-ffu-5-huku-wengine-wakinyatia-kwa-pembeni-akiambulia-makofi-ya-mgongo-na-makalio.jpg

Police alipompiga Risasi msomaji magazeti morogoro

Muuza+magazeti+aliyepigwa+risasi+ya+kichwa+na+kufariki+dunia+wakati+wa+vurugu+za+Polisi+na+Chadema+Morogoro.jpg

Kifo+Moro.jpg

Update from Iringa 2/9/2012
IMG_1917.JPG

Mwili%2Bwa%2B%2BDaudi%2BMwangosi%2Bukiwa%2Bumechanika%2B%2Bvibaya.JPG
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom