Wanashindwa kujua kuwa wananchi wakiamua hata mabomu hayawezi kuwazuia,na mabadiliko ni lazima katika ngazi yoyote iwe ya kimaisha kiuongozi na hata kisiasa,kinachofanyika ni kuzidi kuwapandisha hasira wananchi iko siku wataamua na ieleweke wazi kuwa ili maendeleo yawepo iwe ya kiuchumi,kisiasa,kijamii,kiuongozi au vyovyote vile lazima mtu ajitoe mhanga kwa namna yoyote iwe kwa kufanya kazi kwa bidii au kwa mabavu kwa namna nyingine kumwaga damu hasa pale malengo ya wote yasipotekelezwa na ndiyo maana tunaona vita huko mashariki ya kati hivi sasa lakini ilishatokea huko Marekani , Uchina Urusi na kwingineko cha maana ni kuelewa tu kuwa mabadiliko ni mfumo wa maisha na hayaepukiki kamwe.