Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

African govts are so keen at stopping perception revolution.
I just pray sometime in the future same energy will be directed into delivering to its people.
 
I never doubt their ability to torture as it happened to Dr. Ulimboka, I never doubt their ability to kill innocent people, we all remember the late Kombe and four businessmen, I never doubt their ability to falsify the truth, kumbuka Mahita na visu vya CUF, I ONLY doubt their ability to foresee and interpret the winds of change which will sweep them aside!
 
This pholosophy is beyond their reasoning ability. I doubt if they can understand. If they do, they would have stopped digging their own grave which they are about to finish. What next? burrial ceremony. Are you there my friend?
 
Wakuu salaam kwenu wote.
Ni kauchunguzi kidogo tu nimefanya kupitia hiyo force yetu inayojiita jeshi la Polisi na kubaini kuwa
1. Wengi wao ni watoto wa x polisi officers, na watoto wa viongozi ambao ni school drop, outs au makokapu walioshindika kwao. Watooto wengi wa viongozi wa Tz hawana maadili. Wengi ni mateja ya unga au bangi na wezi. Ili kuondoa kero hiyo wanatafutiwa nafasi huko Pcp Moshi na wanakuwa askari polisi wa nchi yetu tukufu ya Tanzania.

2. Wanaopelekwa Ffu ndio mabangi zaidi na wengi wao ni vijana wadogo wa miaka 23 kama yule wa Iringa. Wakiwa kwenye uniform zao wanajiona wa pekee kabisa ndani ya nchi na ukizingatia baba zao ni viongozi ndio wanakuwa vichaa kabisa. Wanaingia mitandao ya wizi wala hakuna aneyejali.

conclusion yangu ni kwamba wataendelea kuuwa tu kipuuzi maana ni bangi tupu na wanajifanya kutetea serikali ya baba zao. Wakisikia upinzani Hususani CDM wanapata hofu kuu. Ukichanganya na mabosi wao wanavyo operate kwa mtandao wa kimaangamba basi hali inakuwa mbaya zaidi. Tufanye nini?
 
I like your collection of pics.They are licenced to kill because no one will
held them responsible when they inocent civilian
 
tz_pix.jpg


Police in Arusha 5/1/2011





Police in action Arusha 5/01/2011

mapiganoarusha_chadema81.jpg


071231-kenya-hmed-135a.h2.jpg


images


Picha yako ya pili kutoka mwisho hiyo sio bongo. Polisi wetu hawavai uniform za kijeshi.
 
Wanashindwa kujua kuwa wananchi wakiamua hata mabomu hayawezi kuwazuia,na mabadiliko ni lazima katika ngazi yoyote iwe ya kimaisha kiuongozi na hata kisiasa,kinachofanyika ni kuzidi kuwapandisha hasira wananchi iko siku wataamua na ieleweke wazi kuwa ili maendeleo yawepo iwe ya kiuchumi,kisiasa,kijamii,kiuongozi au vyovyote vile lazima mtu ajitoe mhanga kwa namna yoyote iwe kwa kufanya kazi kwa bidii au kwa mabavu kwa namna nyingine kumwaga damu hasa pale malengo ya wote yasipotekelezwa na ndiyo maana tunaona vita huko mashariki ya kati hivi sasa lakini ilishatokea huko Marekani , Uchina Urusi na kwingineko cha maana ni kuelewa tu kuwa mabadiliko ni mfumo wa maisha na hayaepukiki kamwe.
 
SI KUCHOCHEA CHUKI, bali ni kufikisha ujumbe wa jinsi polisi wanavyotenda kazi zao kinyume na maadili..."Utaijua kweli, nayo kweli itakuweka huru"
 
Wakuu ni ombi tu hizi picha zinazidisha hasira kwa wale walio namna moja au nyengine athirika na fujo au matukio hayo. Sidhani kama ni busara kuziweka kwani unachochea chuki katika jamii!! Ni mtazamo tu.

agepigwa nanihii (bxba) yako, zisingechochea chuki ktk jamii? watz lazima tubadilike tuwe tunakubali ukweli hapo ndo tutapata maendeleo ya kweli, lakini ukweli unageuzwa kuwa unachochea chuki ktk jamii, basi wamkong'oli nanihii wako tuone kama hutajaa chuki, mijitu mingine ni ziro tu.
 
Petition Goverment of Tanzania - CNN iReport

HII NI RESPONSE YA MWANZO TU...STAY TUNED...

United Nations News Centre - UNESCO chief denounces killing of Tanzanian journalist

TAFADHARI CLINK LINK HAPO JUU NA iRecomend it. Bila kusahau kuna signatures 330 zishapatikana. Unaombwa pia uende kusaign ili tuijurishe dunia mauaji ya kikatili yanayo fanywa na polisi wa Tanzania.

Hii ni link ya petition inapatikana kwenye CNN iReport link hapo juu;

Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful demonstrators and journalists | Change.org

Muhimu: hili swala halifungamani na chama chochote. Ni kwa ajili ya HAKI za kimsingi za binadamu, haki ya kuongea mawazo, haki ya kupata habari (kuwa informed) na HAKI YA KUISHI. Hizi haki hazitolewi na serikali, bali MUUMBA (MUNGU)
 
HII NI RESPONSE YA MWANZO TU...STAY TUNED...

UNESCO chief denounces killing of Tanzanian journalist

United Nations News Centre - UNESCO chief denounces killing of Tanzanian journalist

TAFADHARI CLINK LINK HAPO JUU NA iRecomend it. Bila kusahau kuna signatures 330 zishapatikana. Unaombwa pia uende kusaign ili tuijurishe dunia mauaji ya kikatili yanayo fanywa na polisi wa Tanzania.

Hii ni link ya CNN iReport;

Petition Goverment of Tanzania - CNN iReport

Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful demonstrators and journalists | Change.org

Muhimu: hili swala halifungamani na chama chochote. Ni kwa ajili ya HAKI za kimsingi za binadamu, haki ya kuongea mawazo, haki ya kupata habari (kuwa informed) na HAKI YA KUISHI. Hizi haki hazitolewi na serikali, bali MUUMBA (MUNGU)


 
Thank you all around the world for your support.
 
Hii kitu itabadilisha sana image ya Tanzania kutokana na utawala wa kiimla. Ila cha kushangaza, bado kuna washabiki fulani-fulani humu watasema hii ni PROPAGANDA.
 
Back
Top Bottom