Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kichura na viboko si mambo ya kawaida huko jeshini. Kwao ni sehemu ya mafunzo ya ukakamavu na uvumilivu.
Kiongozi wa N.korea kamua mjomba wake na watu wanaomuunga mkono kwa kutumia antiaircraft machine gun hapo watu wa haki za binadamu mnasemaje?
Kumbe ilikuwa halali yao wale wakubwa kung'oka...
If God wants to destroy, he makes you blind. Huwezi kuona wala kusikia, isipokuwa mwangwi wa fikra zako tu, kisha unadhani kuwa unafikiri sawa sawa.
Hii ni moja ya dalili ya wazi kabisa kwamba we have a failing govt and falling ruling political party. Beyond and repair.
Serikali nzima ilipaswa kung'oka!
Nani aliruhusu jeshi kufanya operesheni ya kiraia? Je Jeshi la Wananchi liliamuriwa kwenda kupambana na wananchi? Je Jeshi linaweza kuingia kwenye operesheni au vitani bila maagizo ya Amri Jeshi Mkuu? Je ni kweli vijana waliokwenda kwenye operesheni hawakuwa wamelipwa fedha zao (walikopwa?), wakawa na hasira?
Je ni kweli wamekuwa na manung'uniko mengi hivyo wakaamua kumalizia hasira zao kwa wananchi? Je ni kweli kwamba hakukuwa na mkakati wowote wa ku-manage hili suala, hivyo lilifanywa kwa kukurupuka?
Kuna maswali mengi mnastahili kuwajibu Watanzania kabla hamjatumia kisingizo chochote kile kuhalalisha mauaji na unyama huu.
Can I also assume hao jamaa wanaotoa kichapo si wanajeshi? JWTZ! Oh judgement, where art thou fled...to brutish beasts? Kwamba Mwamunyange na Said Mwema hadi dakika hii bado wana ajira, tells a lot about the one who appointed them.just assume hao jamaa ni kweli ni majangili!
just assume hao jamaa ni kweli ni majangili!