Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Sasa kichura na viboko si mambo ya kawaida huko jeshini. Kwao ni sehemu ya mafunzo ya ukakamavu na uvumilivu.

Kiongozi wa N.korea kamua mjomba wake na watu wanaomuunga mkono kwa kutumia antiaircraft machine gun hapo watu wa haki za binadamu mnasemaje?

Nani aliruhusu jeshi kufanya operesheni ya kiraia? Je Jeshi la Wananchi liliamuriwa kwenda kupambana na wananchi? Je Jeshi linaweza kuingia kwenye operesheni au vitani bila maagizo ya Amri Jeshi Mkuu? Je ni kweli vijana waliokwenda kwenye operesheni hawakuwa wamelipwa fedha zao (walikopwa?), wakawa na hasira?

Je ni kweli wamekuwa na manung'uniko mengi hivyo wakaamua kumalizia hasira zao kwa wananchi? Je ni kweli kwamba hakukuwa na mkakati wowote wa ku-manage hili suala, hivyo lilifanywa kwa kukurupuka?

Kuna maswali mengi mnastahili kuwajibu Watanzania kabla hamjatumia kisingizo chochote kile kuhalalisha mauaji na unyama huu.
 
Pinda Must go: Bora iddi Amin alikuwa akitesa wapinzani wake, sasa hii ya Tanzania wanafanyiwa Watanzania katika nchi yao wenyewe
 
.
Huu ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu!

Hii ni Torturing! ... Torturing Vulnerable People! ... upo wapo utawala wa sheria?! - Nini kazi ya Mahakama?!

Huu ni ukiukwaji mkubwa wa Katiba na haki za Raia wa Tanzania, Je hii ndio Tanzania tunayotaka kuijenga?!

Kama mkikamata washukiwa mnawafanya hivi! ... Je mnataka na Raia waanze kuwafanya hivi hivi (Torturing) viongozi washukiwa wa ufisadi?!! kabla ya kufikishwa Mahakamani?!

Kwa hali hii hata Waziri Mkuu anatakiwa kujiuzulu kabisa!

Shame!
.
 
Kumbe ilikuwa halali yao wale wakubwa kung'oka...

If God wants to destroy you, he makes you blind. Huwezi kuona wala kusikia, isipokuwa mwangwi wa fikra zako tu, kisha unadhani kuwa unafikiri sawa sawa.

Hii ni moja ya dalili ya wazi kabisa kwamba we have a failing govt and falling ruling political party. Beyond any repair.

Serikali nzima ilipaswa kung'oka!
 
If God wants to destroy, he makes you blind. Huwezi kuona wala kusikia, isipokuwa mwangwi wa fikra zako tu, kisha unadhani kuwa unafikiri sawa sawa.

Hii ni moja ya dalili ya wazi kabisa kwamba we have a failing govt and falling ruling political party. Beyond and repair.

Serikali nzima ilipaswa kung'oka!

Na mateso waliyopata watu wetu Mtwara yangewekwa kwa picha kama hizi...hakika jamaa wa "Ze Hague" wangetua bongo....
 
Nani aliruhusu jeshi kufanya operesheni ya kiraia? Je Jeshi la Wananchi liliamuriwa kwenda kupambana na wananchi? Je Jeshi linaweza kuingia kwenye operesheni au vitani bila maagizo ya Amri Jeshi Mkuu? Je ni kweli vijana waliokwenda kwenye operesheni hawakuwa wamelipwa fedha zao (walikopwa?), wakawa na hasira?

Je ni kweli wamekuwa na manung'uniko mengi hivyo wakaamua kumalizia hasira zao kwa wananchi? Je ni kweli kwamba hakukuwa na mkakati wowote wa ku-manage hili suala, hivyo lilifanywa kwa kukurupuka?

Kuna maswali mengi mnastahili kuwajibu Watanzania kabla hamjatumia kisingizo chochote kile kuhalalisha mauaji na unyama huu.

Tunataka muweke video za ukatili tulio aminishwa na tume ya bunge sio hii ya mafunzo ya ukakamavu.

Kama jeshi letu linatumika huko congo kwa nini lisitumike hapa nchini?
 
.
Ipo siku na viongozi wa kisiasa watakuwa wanakamatwa na Wananchi na kupigwa hivyo hivyo!

Viongozi msitake kutuharibia nchi yetu, kama mmeshindwa kuongoza kwa misingi ya sheria mjiuzulu mtuachie nchi yetu salama. Mkafanye Uhuni wenu huko mababarani lakini msitutafutie laana katika nchi yetu.

Shame!.
.
 
Sipendi vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini sipendi pia unyanyasaji huu kwa kukiukwa kwa haki za binaadamu kwa majeshi ya nchi hii kufanya hivi walivyovifanya kwa raia wasio na ujuzi hata wa kupigana ,siku Watanzania tutakapokimbizana na Serikali hii walau kwa mwezi mmoja inaweza kubadili hali ya mambo ukizingatia kuipata haki ni gharama kubwa.Imenisikitisha sana.
 
just assume hao jamaa ni kweli ni majangili!
Can I also assume hao jamaa wanaotoa kichapo si wanajeshi? JWTZ! Oh judgement, where art thou fled...to brutish beasts? Kwamba Mwamunyange na Said Mwema hadi dakika hii bado wana ajira, tells a lot about the one who appointed them.
 
Chozi usitoke pls,maana tuendako utadondoka zaidi ya mara milioni......kifupi kama ni kweli haya ndiyo yaliyojiri bs ni kweli serikali hii haikuingia madarakani kwa kura za halali bali za kuiba,binadamu aliekuweka madarakani kwa kupanga foleni toka saa 12 asbh huwezi kumtendea hivyo bwana
 
Nani aliruhusu jeshi kufanya operesheni ya kiraia? Je Jeshi la Wananchi liliamuriwa kwenda kupambana na wananchi? Je Jeshi linaweza kuingia kwenye operesheni au vitani bila maagizo ya Amri Jeshi Mkuu? Je ni kweli vijana waliokwenda kwenye operesheni hawakuwa wamelipwa fedha zao (walikopwa?), wakawa na hasira?

Je ni kweli wamekuwa na manung'uniko mengi hivyo wakaamua kumalizia hasira zao kwa wananchi? Je ni kweli kwamba hakukuwa na mkakati wowote wa ku-manage hili suala, hivyo lilifanywa kwa kukurupuka?

Kuna maswali mengi mnastahili kuwajibu Watanzania kabla hamjatumia kisingizo chochote kile kuhalalisha mauaji na unyama huu.

Ndugu Tumaini Makeni!! Usiweke chumvi katika kidonda ambacho kingali kibichi ,Hivi Unajisahaulisha kwa makusudi au ni kwa bahati mabaya ?matokeo hayo ni madogo sana ukilinganisha na yale yaliyobarikiwa na Rais Benjaman Mkapa alipoamrisha mauwaji ya raia kule Zenj na kutamka bila huruma kwa kusema hata kama kuna uwezekano wa kuliwa nyamazao zao basi zilewe , wanajeshi hao hao ndiwo walipewa hiyo amri na kukamilisha magizo ya Rais mkapa ,baada ya kufanya mauwaji na Ubakaji walipandishwa Vyeo kwa mbwebwe na Rais mkapa ,haikumalizikia hapo kuna baadhi ya Ndugu zetu kutoka Tanganyika iliwauma sana lakini pia kuna wale ambao udugu wao ni wa kitu na sio wa utu walifurahishwa sana na magizo ya Rais mkapa kwa jeshi zidi ya wananchi wa Zenj ,hatutasahau hilo Rais mkapa alikumbuke tumepoteza baba zetu wajomba zetu ,kuna wanawake hadi leo ni wajane na watoto ni yatima mkumbusheni Mpaka (mtaka Unda haneni)
 
Aisee kama Apartheid policy,hii ndo serikali sikizu na tesaji
 
Back
Top Bottom