Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Dah ingekuwa vizuri zaidi hizi video zikaangaliwa kwa makini kisha wakakamatwa kila mwanajeshi aliefanya unyama huu na sio wawajibike mawaziri tu,hii hali itaendelea sana wakijua wakifanya watawajibika wakubwa,wanajeshi wengi wa afrika hawatumii akili wapo km wadudu tu,ndio maana hata walipoingia westgate waliwauwa maaskari wenzao na kuiba bila ya aibu,napendekeza na wanajeshi mmoja mmoja watambuliwe washikwe na kufikishwa ktk vyombo vya sheria
 
Mungu akuwezeshe uache kutoa kejeli unapoona watu wake wanateseka na kuuawa!

Kwenye video sikuona m2 aliyeuwawa bali watu wanaopigishwa kichura kama JKT tu! That what I saw, wewe mwenzangu umeona nini? au umefanya projection?
 
Mungu akuwezeshe uache kutoa kejeli unapoona watu wake wanateseka na kuuawa!

Hiyo ya chupa sijaona, lakini mzazi wangu akiharibu rasilimali za vizazi maelfu vijavyo ahitaji adhabu kali sana ila isiwe kifo maana hiyo itakuwa mchezo wa pwagu na pwaguzi!
 
Kwenye video sikuona m2 aliyeuwawa bali watu wanaopigishwa kichura kama JKT tu! That what I saw, wewe mwenzangu umeona nini? au umefanya projection?

Kujificha nyuma ya keyboard kusikufanye ukose ubinadamu. Utajificha kwetu lakni si kwa Mungu
 
Sasa kichura na viboko si mambo ya kawaida huko jeshini. Kwao ni sehemu ya mafunzo ya ukakamavu na uvumilivu.

Kiongozi wa N.korea kamua mjomba wake na watu wanaomuunga mkono kwa kutumia antiaircraft machine gun hapo watu wa haki za binadamu mnasemaje?

Sasa hapa ulitaka kusema nini mkuu?
 
Sasa kichura na viboko si mambo ya kawaida huko jeshini. Kwao ni sehemu ya mafunzo ya ukakamavu na uvumilivu.

Kiongozi wa N.korea kamua mjomba wake na watu wanaomuunga mkono kwa kutumia antiaircraft machine gun hapo watu wa haki za binadamu mnasemaje?

Vipi ingekuwa ni wewe au mzazi wako ungeyasema haya????? Au kwa wengine ni sawa maumivu ambayo wameyapata watu si ya kuyasema ukiona mtu anaunga mkono anafikiri siku moja hayatampata. Ukiyaona kwa mwenzio kemea ukifikiri ni kwa wengine tu subiri siku yako
 
inasikitisha sana watu kuteswa kama wakati wa ukoloni tena miaka hii. Kweli serikali inanyanyasa wananchi.
 
Aisee kama Apartheid policy,hii ndo serikali sikizu na tesaji

hata wewe umeliona hili sasa hiyo no kochurachura je uliona gazeti la mawio jana halafu upate picha wanajeshi waliotumwa na pinda wakimubaka mwanamke kisha wanamwingizia chupa sehemu za siri..
 
Ningekosa kusikia lugha ya kiswahili kwa lafudhi yetu ktk hiyo video, nisingeweza amini kuwa ni tz!
 
.
Ipo siku na viongozi wa kisiasa watakuwa wanakamatwa na Wananchi na kupigwa hivyo hivyo!

Viongozi msitake kutuharibia nchi yetu, kama mmeshindwa kuongoza kwa misingi ya sheria mjiuzulu mtuachie nchi yetu salama. Mkafanye Uhuni wenu huko mababarani lakini msitutafutie laana katika nchi yetu.

Shame!.
.

Ni kweli shame
 
Back
Top Bottom