macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
just assume hao jamaa ni kweli ni majangili!
Mungu akuwezeshe uache kutoa kejeli unapoona watu wake wanateseka na kuuawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
just assume hao jamaa ni kweli ni majangili!
Mungu akuwezeshe uache kutoa kejeli unapoona watu wake wanateseka na kuuawa!
just assume hao jamaa ni kweli ni majangili!
Unataka video sio?Kwenye video sikuona m2 aliyeuwawa bali watu wanaopigishwa kichura kama JKT tu! That what I saw, wewe mwenzangu umeona nini? au umefanya projection?
Mungu akuwezeshe uache kutoa kejeli unapoona watu wake wanateseka na kuuawa!
Kwenye video sikuona m2 aliyeuwawa bali watu wanaopigishwa kichura kama JKT tu! That what I saw, wewe mwenzangu umeona nini? au umefanya projection?
Kujificha nyuma ya keyboard kusikufanye ukose ubinadamu. Utajificha kwetu lakni si kwa Mungu
Sasa kichura na viboko si mambo ya kawaida huko jeshini. Kwao ni sehemu ya mafunzo ya ukakamavu na uvumilivu.
Kiongozi wa N.korea kamua mjomba wake na watu wanaomuunga mkono kwa kutumia antiaircraft machine gun hapo watu wa haki za binadamu mnasemaje?

Kumbe ilikuwa halali yao wale wakubwa kung'oka...
Aisee kama Apartheid policy,hii ndo serikali sikizu na tesaji
.
Ipo siku na viongozi wa kisiasa watakuwa wanakamatwa na Wananchi na kupigwa hivyo hivyo!
Viongozi msitake kutuharibia nchi yetu, kama mmeshindwa kuongoza kwa misingi ya sheria mjiuzulu mtuachie nchi yetu salama. Mkafanye Uhuni wenu huko mababarani lakini msitutafutie laana katika nchi yetu.
Shame!.
.