Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Huyu ndio nani? Sisi wa huku Makambako hatumjui.Tafuteni la Ben Saanane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndio nani? Sisi wa huku Makambako hatumjui.Tafuteni la Ben Saanane
kijana wangu achana na wachache wanaotaka kukutoa katika njia sahihiMkuu, acha kuleta masuala ya kisiasa katika serious issues. Please please pleeeeeease.....
Huyo Mwivano aliwahi kuishi Junior Seminary MorogoroDah umenikumbusha mbali sana Mkuu. Endelea kurest in peace Mwivano.
Aliishi pia Iringa jirani na kaka yanguH
Huyo mwivano aliwahi kuishi junior seminary morogoro
Tafuta na wewe, unadhani huo utaalamu umepatikana kwa kukalia porojo kama kwenu?Tafuteni la Ben Saanane
Aende polisi ipi sasa marekani wakati tayari wametoa majibu????Kama ni hivyo wewe kwa nini hukwenda kuwaandikia polisi huu uzi maana wao ndo wana dhamana ya mambo haya uliyoandika.
Maoni ya hovyo kabisa.Uongo bhna. Fuvu haliwezi onesha facial exoression. Maoni yangu lakini.
baba wa ubishi ninakuonaUongo bhna. Fuvu haliwezi onesha facial exoression. Maoni yangu lakini.
Mbona Polisi wetu wanachora sana hizi pichaPolisi wa bongo Sasa uwiiiiiiii
Hakika FBI wako poaFBI kuna ma-genius sana inaonekana eeeh
Mkuu, acha kuleta masuala ya kisiasa katika serious issues. Please please pleeeeeease.....
Ngoja Soldier aje kulitolea ufafanuzi suala hiliJamaa umesoma forensic medicine