Police Forensic art of facial reconstruction: FBI GENIUS wakiokota Fuvu (Mabaki) la marehemu wanaweza kulitumia katika kutengeneza taswira yake halisi

Police Forensic art of facial reconstruction: FBI GENIUS wakiokota Fuvu (Mabaki) la marehemu wanaweza kulitumia katika kutengeneza taswira yake halisi

Kama ni hivyo wewe kwa nini hukwenda kuwaandikia polisi huu uzi maana wao ndo wana dhamana ya mambo haya uliyoandika.
Aende polisi ipi sasa marekani wakati tayari wametoa majibu????

We nenda polisi tz kaulize utapata majibu pimbi wewe na kujitoa kwenu ufahamu
 
Hii movie ya hawa watanzania nilishawahi kuiona kwenye TV Documentary, nadhani kipindi kilikuwa FBI files au Forensic Files. Nilikuwa ugenini mwaka 2005 wakaionyesha siku moja.
 
Sio fair...raia kaona unauwezo wa kucharaza uzi kwa kile unachofahamu kuhusu Ben kama una wasiwasi ama hujui unaweza kumwelewesha kiujuzi ikawa fresh na sio ku-panic na kumchamba kitaarabu!
Mkuu, acha kuleta masuala ya kisiasa katika serious issues. Please please pleeeeeease.....
 
Back
Top Bottom