mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mkuu wewe unataka kupambana na polisi? Polisi anaweza kupambana na wewe, akakuumiza, na ukaumia, na usifanye lolote hata kama kesi utashinda. Kuwa na nidham tu, ishi vizuri na watu wote.View attachment 1953815
Aisee, huyu ACP Ramadhani Kingai ameibua hata ambayo tulikuwa hatuyajui...
Sasa watakoma na kuanzia siku ile Kingai aliposhindwa kujibu maswali ya PGO sitakubali kuonewa na polisi awaye yeyote maana nimeshai - download PGO ya kiingereza na kiswahili....
Japo Kitabu kikubwa chenye kurasa karibu 800, lakini tutakisoma mpaka tujue siri iliyomo ndani yake....
Hapa ndo point ipo....Kuwa na nidham tu, ishi vizuri na watu wote.