Police given green light Kula Rushwa?

Police given green light Kula Rushwa?

Polisi wanapiga kazi sana. Wanastahili tips kama unavotoa tips ukienda bar kunywa bia.
 
Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip.

Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti

Sasa maovu utayafichua vipi?
Changia watu wanunue Vanguard
 
Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip.

Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti

Sasa maovu utayafichua vipi?
Rais Magufuli aliwahi kusema Polisi wa Trafiki kupewa hela ya kung'arisha viatu sio rushwa.
 
Back
Top Bottom