coockie monster JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 390 Reaction score 757 May 28, 2026 #21 Polisi wanapiga kazi sana. Wanastahili tips kama unavotoa tips ukienda bar kunywa bia.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 May 29, 2026 #22 Huruma ya mama... Cc: Mahondaw
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,477 Reaction score 40,278 Oct 18, 2026 #23 Retired said: Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip. Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti Sasa maovu utayafichua vipi? Click to expand... Changia watu wanunue Vanguard
Retired said: Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip. Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti Sasa maovu utayafichua vipi? Click to expand... Changia watu wanunue Vanguard
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,572 Reaction score 15,610 Oct 19, 2026 #24 Retired said: Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip. Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti Sasa maovu utayafichua vipi? Click to expand... Rais Magufuli aliwahi kusema Polisi wa Trafiki kupewa hela ya kung'arisha viatu sio rushwa.
Retired said: Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip. Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti Sasa maovu utayafichua vipi? Click to expand... Rais Magufuli aliwahi kusema Polisi wa Trafiki kupewa hela ya kung'arisha viatu sio rushwa.