Police Militarization: Sababu ya Jeshi letu kuzidiwa nguvu na Polisi

Nimmeelewa kwanini IGP ndiye alitoka amri ya kutotoka nje badala ya Mkuu wa majeshi
Mkuu wa Majeshi angetoa amri hiyo maana yake utawala wa kiraia ambao unategemea polisi kusimamia sheria umeshindwa kazi na asingetakiwa kuonekana yeyote mtaani hata huyo igp na polisi wake.
 
Aisee
 
Hiyo yote ni baada ya Nyumbu kuwasukuma mapolisi hadi kwenye kona ya mwisho na polisi kushindwa kuwavumilia Nyumbu.

Nyumbu unavunja unaiba na kuharibu mali za watu alafu unasema usiguswe kwakua uhai wako ni wa muhimu kuliko mali za watu? Pumbavu kabisa.
 
Kwanza hakuna kitu kinachoitwa JESHI LA POLISI. Hilo ni neno la kisiasa la kuipa ujeshi IDARA ya Polisi.

Polisi ni polisi, na jeshi ni jeshi.

Au sijui "Jeshi la magereza". Hakuna kitu cha namna hiyo.

Kila kitu kinavalishwa ujeshi ujeshi kwa ajili ya nini na kwa ajili ya nani?

Ndio maana siku hizi kunazuka vitu vya ajabu kama JESHI LA ABDULI, JESHI LA CHALAMILA na majeshi mengine yasiyoeleweka. Of kozi na JESHI LA MUSEVENI.

Au kwa mfano, JESHI LA BICHWA KOMWE.

Cc: Nyani Ngabu Kiranga Pascal Mayalla Dejane binti kiziwi Demi
 

Attachments

  • Screenshot_20251114_125839_WhatsApp.jpg
    73.8 KB · Views: 17
Tutengeneze jeshi letu wanachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…