Police say car from neighbouring country used in kidnap of Tanzanian billionaire

Wwe unataka kila wanacho find out waje kukwambia!! Ww kweli punguani
 

Kwanza ilisemekana CCTV hazikufanya kazi, leo gari limeibuka lenye usajiri sijui wa Angola au wapi, hii show bana...
 
Baby nani kasema ni wakenya?
 






They Know where he is hopefully alive... A role model to many african youth... abducted because of shear jealousy from lazy uneducated government officials
 
Hafu baby lile jibu langu vipi?
 
Yaani CCTV imelitambua gari ila haikuweza kucapture picha za watekaji? Vyombo vyetu hivi vimeshapata kutu. Sasa ukubwa wa risasi unasaidia nini kwenye solution ya kumpata Mo?
 
Gari lililotumiwa kumteka Mo latumiwa tena kumrudisha akiwa hai bila ya vitengo vya usalama kustukia. [emoji1] Hii inafaa iwe headline kwenye magazeti, angalau hii movie izidi kuwa na mnato. [emoji23] Mungu wangu!
 
Kila mara mimi husikia forces za Tz ni Kali, intelligence ya Tz ni Kali. Sasa iweje majambazi from a neighbouring country waweze kukidnap Mtz right in your economic capital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ